funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,624
- 21,362
- Thread starter
- #401
Andaa business plan kwanza uniletee nione unataka kufanya nn naweza kukusaidia, pia nijue huko wapi siwezi kutoa trekta Morogoro kwenda RuvumaMkuu katika matrekta yako;; embu niazime mmoja nirudi kijijini kwa babu yangu nikapambane na shamba. Nimechoka maliza sori ya kiatu changu kuzunguka mjini posta na bahasha ya kaki bila mafanikio.