Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Uongo bwana!!!Mimi nimesoma sura nzima ukitaka kutafuniwa msubiri Ustaadh Malaria 2 ๐ผ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uongo bwana!!!Mimi nimesoma sura nzima ukitaka kutafuniwa msubiri Ustaadh Malaria 2 ๐ผ
The names "Maria" and "Maryam" are quite similar and are often used interchangeably in different cultures, but they have distinct origins.ููุงูู ุฅููููู ุนูุจูุฏู ุงูููููู ุขุชูุงูููู ุงููููุชูุงุจู ููุฌูุนูููููู ููุจููููุง
(Mtoto) akasema: Hakika mimi ni mtumwa wa Mwenyezi Mungu. Amenipa Kitabu, na amenifanya Nabii.
Quran 19:30(surat maryam siyo Maria)
Maryam ndio Maria kama Musa alivyo Moses na Yusuf alivyo Joseph ๐๐๐ Yohana - John - Yahaya ๐๐๐ููุงูู ุฅููููู ุนูุจูุฏู ุงูููููู ุขุชูุงูููู ุงููููุชูุงุจู ููุฌูุนูููููู ููุจููููุง
(Mtoto) akasema: Hakika mimi ni mtumwa wa Mwenyezi Mungu. Amenipa Kitabu, na amenifanya Nabii.
Quran 19:30(surat maryam siyo Maria)
Ndio mkuu nimefurahi sana! Pia tuondoe na Swala ya Ijumaa tuipe jina Swala ya Samia! Sabato tuiite Siku tukufu ya Samia. Halafu Misa za Jumapili tuziite Misa za Samia.Usikonde wala nini. Hiyo ipo na itakuja very soon. Pia na "Kesha na Mama Samia" inaandaliwa na Mwamposa! Umefurahi?
Noted! Litafanyiwa kazi. Ushauri mwingine?Ndio mkuu nimefurahi sana! Pia tuondoe na Swala ya Ijumaa tuipe jina Swala ya Samia! Sabato tuiite Siku tukufu ya Samia. Halafu Misa za Jumapili tuziite Misa za Samia.
Mtaani kwetu kulikuwa na "Valentine day na Mama"Kuna siku mtaanzishwa "Siku ya kujiremba ya mama"
Badilisheni na Katiba ili Samia awe Rais wa milele! Plus Makao makuu ya Nchi yawe KizimkaziNoted! Litafanyiwa kazi. Ushauri mwingine?
Hiyo Suratul Mariam 19:30 uliyoambiwa na gallow bird umeielewaAmeshakuja Malaria 2 anatoa ilmu Bure kabisa bando lako tu ๐
Sawa. Lakini kuna kipindi mlitaka Makao Makuu yawe Chato.Badilisheni na Katiba ili Samia awe Rais wa milele! Plus Makao makuu ya Nchi yawe Kizimkazi
Ile Siku muhimu ya fainali ya mashindano ya Kuhifadhi Quran ndio Leo
Tukio liko mubashara TBC, ZBC na Clouds tv
Mgeni rasmi ni Mpendwa wetu mh Rais Samia
Karibuni sana
View: https://www.youtube.com/live/ml6IdLNv8EM?si=LTNVm5mk9dHja8kE
Kwani leo ni sabato?Ndio sababu wamechagua Siku Takatifu ๐
Elimu Dunia ni dynamic ๐Mashindano haya ya Kuhifadhi Quran yaende sambamba na Mashindano ya Kuhifadhi Hisabati, Fizikia, Kemia, Baiolojia, Jiografia, n.k, n.k
Ingekuwa sawa tuSawa. Lakini kuna kipindi mlitaka Makao Makuu yawe Chato.
Ile Siku muhimu ya fainali ya mashindano ya Kuhifadhi Quran ndio Leo
Tukio liko mubashara TBC, ZBC na Clouds tv
Mgeni rasmi ni Mpendwa wetu mh Rais Samia
Karibuni sana
View: https://www.youtube.com/live/ml6IdLNv8EM?si=LTNVm5mk9dHja8kE
Hakuna surat Maria kwenye QuranThe names "Maria" and "Maryam" are quite similar and are often used interchangeably in different cultures, but they have distinct origins.
Maria: This name is of Latin origin, derived from the name "Mariam," which itself comes from the Hebrew name "Miryam" (Miriam). It is often associated with the meaning "beloved" or "sea of bitterness." "Maria" is widely used in various cultures, particularly in Christian communities, due to its association with the Virgin Mary.
Maryam: This is the Arabic and Persian variant of "Miriam" (or "Maria") and is often used in Muslim communities, as Maryam is the name of the mother of the Prophet Isa (Jesus) in Islam. In Arabic, it is sometimes interpreted as "pure" or "virtuous."
Ile Siku muhimu ya fainali ya mashindano ya Kuhifadhi Quran ndio Leo
Tukio liko mubashara TBC, ZBC na Clouds tv
Mgeni rasmi ni Mpendwa wetu mh Rais Samia
Karibuni sana
View: https://www.youtube.com/live/ml6IdLNv8EM?si=LTNVm5mk9dHja8kE
Quran imeshuka kwa kiarabu,hiyo ni surat maryam,huwezi suratil maida uiite sura ya meza iliyotapakaa vyakula au bani israail uiite surat Wana wa israelMaryam ndio Maria kama Musa alivyo Moses na Yusuf alivyo Joseph ๐๐๐ Yohana - John - Yahaya ๐๐๐
Sasa ilianza Injili ndio ikaja Quran yaani alianza Maria ndio ikashushwa Quran kwa lugha ya kiarabuQuran imeshuka kwa kiarabu,hiyo ni surat maryam,huwezi suratil maida uiite sura ya meza iliyotapakaa vyakula au bani israail uiite surat Wana wa israel