Leo ndio nimejua kwanini wanawake wanajiingiza katika tabia za udangaji

Sasa kwani mimi ni wapi nimemjadili mtoa hoja kwani hata mimi si ninajadili kulingana na alichokiandika humu ndio maana sijasema kuwa hiyo ni tabia yake bali nimesema hayo ni mawazo yake, ndio nikasema mtu anayeweza kumshauri mwanamke adange awe na sponsors ukija tena kumkuta anashauri kuhusu mke kumsaidia mumewe majukumu, ukiwa na akili timamu huyu mtu utamuona kama mnafiki fulani hivi yani mtu ashindwe kujihudumia mwenyewe tu ndio aweze kumsaidia mumewe majukumu
 
Iyo michango ameitoa katika thread mbili tofauti maisha ni vita hauwezi kutumia mbinu moja kwenye kila situation. Embrace both your dark and light sides then use them properly
 
Iyo michango ameitoa katika thread mbili tofauti maisha ni vita hauwezi kutumia mbinu moja kwenye kila situation. Embrace both your dark and light sides then use them properly
Oohh kwa mantiki hiyo basi hata wanawake wanaolilia kuhudumiwa kwenye mahusiano, (ambao unawapinga) nao wana haki ya kusikilizwa, maana ni mbinu ya kupambana na situations kama hizo kwenye maisha
 
Hapo unataka urudie enzi tu za umalaya, ni maisha yako hakuna wa kukupangia!
 
Mimi na wewe nani anataka kumfurahisha huyo jamaa?
Mimi nakoment chochote ninachojisikia sijawahi kuwaza kumfurahisha mtu.
Naona mnabebana kila koment yangu mnabishana bibi na bwana. Mnaacha kujadili uzi mnajadili koments zangu!
Unajua ndiomana toka mwanzo niliwashauri nendeni pm mkajinafasi hamuoni mnavyopingana huyu anasema hivi, mwingine anasema hivi.
Au km vipi mkubaliane kutokukubaliana
 
Sasa usilalamike kusimangwa na kaka yako, na kifuatacho atakufukuza. Hapa wadada wote tutakwambia vumilia ila ukweli na wao wamewapanga masponsor sababu wanawake nature yetu kupokea na sio kutafuta
Asante sana kwa point hii. Wadada wengi watamuambia avumilie tu atafika, lakini hawatamuambia;
1. avumilie akiwa unaishi kwa nani. Siku akitimuliwa itakuwa mbaya zaidi.
2. avumilieje akiwa hana nauli na wala hajui huko kazini kupya anakwendaje
3. Na wala hawatamwambia ukweli kuwa wanayasema hayo huku wao wana masponsa wanaowalipia kila kitu, hadi pango.

Ukweli ni kwamba, huu uzi wa kadogo2 umebeba ujumbe mzito sana. Kwenye kufikiria atakwendaje kazini, akitokea mwamba akampa msaada bila kumuomba kunyanduka, tena msaada wa muda mrefu, (say mmiaka miwili), baada ya muda huo kupita, nature itachukua mkondo wake. Na nature yenyewe ni kuwa huyu kadogo2 atataka kulipa fadhila..!! Hapo ndo huwa mwanzo wa kudanga.

CC. kadogo2
 
Oohh kwa mantiki hiyo basi hata wanawake wanaolilia kuhudumiwa kwenye mahusiano, (ambao unawapinga) nao wana haki ya kusikilizwa, maana ni mbinu ya kupambana na situations kama hizo kwenye maisha
Ukishaweka sharti la kupewa material things ili utoe penzi huo ni ukahaba. Kuna direct na indirect prostitution. Direct ni wale waliojizima data wanajiuza kwa uwazi kwenye kumbi za starehe, mitandaoni n.k pesa atayolipwa na mteja inaitwa bei na indirect ni wale wanaojiuza kupitia mahusiano ya kimapenzi pesa wanayolipwa na mteja imepewa jina la matunzo. Kuna sehemu nimekuambia kwamba mimi sina shida na hao direct prostitutes ambao sikubaliani nao ni hawa indirect prostitutes. Unafanya biashara ya ngono fanya biashara yako kwa uwazi sio kucheza na hisia za kijana wa watu akijua yupo na mpenzi kumbe anadangiwa.
 
Nashukuru kwa kutokuwa MNAFKI
 
Wewe hujui tulipoanzia ndio maana naona unaropokwa tu, mimi na huyo jamaa ni mahasimu wa muda mrefu kwenye mada kama hizi kwahiyo siwezi kuandika kitu ili kumfurahisha yeye na anajua hilo, ndio maana nakushangaa wewe unavyojitetea hapa ni kama vile unataka kumfurahisha
 
If you are not financially free, mawazo yatakayoonekana finyu kwa wenye fedha, kwako yatakuwa ndiyo solution ya matatizo yako kwa wakati huo..!! HUWEZI ELEWA HILI HADI UWE HUNA KITU NA HUJUI LINI UTAKUWA NA KITU

CC Sport ladyy, kadogo2
Listen nyie ndo mnapenda mtelezo, huwezi namnia mwanamke njia rahisi ya kupata pesa ni kudanga tu, huo ni mfinyo wa akiri ambao mwafrika aliye na element za utumwa anazo. Mimi naheshimu wanawake wanao hustle 24/7 hata kwa kuuza chapati lkn sio hawa wadangaji wasio na mbele wala nyuma. Huyo hapo tyr ana kazi kinacho mliza ni nini kama sio kutafta madanga tukwa njia ya kujitia huruma.
 
Sasa huyo dada hajamshauri mtoa mada afanye direct prostitution amemshauri awe na sponsor wa kumhudumia tena siyo mmoja au wewe hukusoma comments zake vizuri, sasa wale wanaonunua siku moja siyo masponsor sponsor anakuwa ni mwanaume ambaye uko naye kwenye mahusiano na anadanganywa kuwa anapendwa kumbe anachunwa, sasa mwanamke anayeshauri mtu afanye hivyo ndio ataweza kushauri mke amsaidie mumewe majukumu
 
Kifupi ni kwamba upo sokoni na unatafuta wateja. Endelea hapa utachezewa na watakunawa sanA.
 
Ikitokea mtu ameomba CV yangu basi yeye ndio atajua wapi nilizaliwa na wapi nilipo, siwezi kujiexpoziii kila kitu Jf Kuna wenginee wakisoma tu wanajua huyu ni mtu fulani so be positive binti
Haya tuma hiyo cv
 
Baada ya kusoma uzi pamoja na comments zote naweza kusema kitu sasa

Ushauri wangu kwako ndugu mtoa mada me/ke
Kwasasa azima baiskeli hapo mtaani kwenu uwe unaendea kazini, ukipata mshahara nunua baiskeli yako binafsi na tatizo litakuwa limeisha. Maana hutatumia nauli tena.
Badala ya kula kazini uwe unaenda kazini na kitu chako cha kula kutokea nyumbani achana na mambo ya kununua, maji pia uwe unaenda nayo

Faida za kuendesha baiskeli ni nyingi zikiwemo za kiafya.
 
Unamshauri nini kadogo2 tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…