Leo ndio nimeshangaa! Kumbe idara ya Usalama wa Taifa inatakiwa kumwambia rais Wananchi wanataka nini? Mbona Rais Samia haambiwi ukweli?

Leo ndio nimeshangaa! Kumbe idara ya Usalama wa Taifa inatakiwa kumwambia rais Wananchi wanataka nini? Mbona Rais Samia haambiwi ukweli?

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Ufisadi halimashauri?

Uzembe makazini?

Sakata la Bashe na Mpina? Mbona wananchi wapo upande wa Mpina? Kuna nini?

Mahindra tech. Bil 80+ alizopiga January? Mbona kimya?

Waarabu wameleta ufanisi bandari za Tanganyika?

Migomo ya kodi na tozo😅😂

Huko Kenya Rigath Anawalaumu Nis hawakutonya Ruto kuwa wanannchi hawataki muswada kandamizi
 
Ulitaka wakwambie wewe "briefings" za kila siku za usalama wa Taifa kwa Rais?
 
Umeshangaaa? Ulitakiwa kujishangaaa ulivyo na uelewa mdogo wa mambo,
Kwamba hujui majukumu ya Idara nyeti ya ujasusi. Useless fellow.
 
Please come again I cant hear you
1719455928753.png
 
ISAYA 10:1-2

¹ Ole wao wawekao amri zisizo za haki, na waandishi waandikao maneno ya ushupavu;

² ili kumpotosha mhitaji asipate haki yake, na kuwanyang'anya maskini wa watu wangu haki yao; ili wajane wawe mateka yao, na kuwafanya yatima waliofiwa na baba zao kuwa mawindo yao!

HILO NDILO NENO LA MUNGU
 
Pengine anaambiwa ila uwezo wa kuelewa, kupambanua, kufanya maamuzi sahihi na kusimamia utekelezwaji wa maamuzi sahihi ndio changamoto?

Kupaa, kuvaa, kujipamba, kula kwa urefu wa kamba na ikibidi kukata kamba yenyewe, na mipasho inaweza kuwa ni sehemu ya ubora.

Utamaduni na imani ya kidini inaleaje jinsia zilizopo nchini?
 
Sometimes naonaga hao watu wanakuzwa tu hawana lolote kuweza kubadilisha mwenendo wa rais aliyepo madarakani, wamejaa ujuaji, kujikweza wakila wakashiba hata nchi wanauza hawana uzalendo km inavyohubiriwa, ufisadi hata wao wanafanya vizuri tu
 
Wanapewa sifa wasizostahili kila Mwaka ripoti ya CAG inasema tunapigwa, wamefeli kuzuia ubadhirifu wa Mali za Umma
 
Hao ndio wale wale ndugu zao kutoka kampuni moja
 
TISS wapo busy kulinda maslahi ya wana mapinduzi wa ccm.
Je, hukuona yaliyomkuta Mpina?!
Hivi watu mnajua kilichofanya mpina kupewa adhabu ile sio kutoa tuhuma dhidi ya Bashe Bali ni kukiuka taratibu za bunge kwa kuupeleka vielelezo vya tuhuma katika vyombo vya habari wakati huohuo kapeleka kwa spika pia. Yaani ni sawa na shauri liko mahakamani na weweupite kwenye media kulitolea hukumu. Bashe kesi yake inaendelea kwa mujibi wa vielelezo vilivyopelekwa na mpina pia kaadhibiwa kwa kosa lake
 
Hakuna kitu kama hicho, ameshasafishwa kuwa hajasema uongo

Sasa hilo shauri linaoendelea ni wapi
 
Sometimes naonaga hao watu wanakuzwa tu hawana lolote kuweza kubadilisha mwenendo wa rais aliyepo madarakani, wamejaa ujuaji, kujikweza wakila wakashiba hata nchi wanauza hawana uzalendo km inavyohubiriwa, ufisadi hata wao wanafanya vizuri tu
Sasa kama walipatiwa nafasi kwa upendeleo na kujuana pasipo kuzingatia uwezo unadhani huo uzalendo watautoa wapi wasakatonge hao, mle kwenye kitengo wengi wamekosa uwezo wa kufikili wako kwa ajili ya masilahi ya chama na sio nchi.
 
Huwa hamna wasicho kijua kilichopo na kitokeacho ila hawapendi kushirikisha .
Ona hii video jibu la afisa usalama na rais Magufuli
 
Attachments

  • Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza Terminal One JNIA Mei 13_2016(360P)[Trim].mp4
    1.3 MB
Back
Top Bottom