Leo ndio nimeshangaa! Kumbe idara ya Usalama wa Taifa inatakiwa kumwambia rais Wananchi wanataka nini? Mbona Rais Samia haambiwi ukweli?

Ufisadi halimashauri?

Uzembe makazini?

Sakata la Bashe na Mpina? Mbona wananchi wapo upande wa Mpina? Kuna nini?

Mahindra tech. Bil 80+ alizopiga January? Mbona kimya?

Waarabu wameleta ufanisi bandari za Tanganyika?

Migomo ya kodi na tozo😅😂

Huko Kenya Rigath Anawalaumu Nis hawakutonya Ruto kuwa wanannchi hawataki muswada kandamizi
Mkuu
Sheria Inasema Muda Wote Watamshauri Rais Wa JMT, Nakukumbusha Baada Ya Kupokea Ushauri Ataamua Aufanyie Kazi Ama Aache Tu Mambo Yawe Mwayangumwangu
Hapo Utakuwa Na Uelewa
 
Ufisadi halimashauri?

Uzembe makazini?

Sakata la Bashe na Mpina? Mbona wananchi wapo upande wa Mpina? Kuna nini?

Mahindra tech. Bil 80+ alizopiga January? Mbona kimya?

Waarabu wameleta ufanisi bandari za Tanganyika?

Migomo ya kodi na tozo😅😂

Huko Kenya Rigath Anawalaumu Nis hawakutonya Ruto kuwa wanannchi hawataki muswada kandamizi
Unajuaje kama Rais hajaambiwa.Kuambiwa na kuchukua hatua ni vitu viwili tofauti.
 
Sometimes naonaga hao watu wanakuzwa tu hawana lolote kuweza kubadilisha mwenendo wa rais aliyepo madarakani, wamejaa ujuaji, kujikweza wakila wakashiba hata nchi wanauza hawana uzalendo km inavyohubiriwa, ufisadi hata wao wanafanya vizuri tu
Hao wapo kwa ajili ya kutwist mambo na kumsogezea trending news mwananchi zisizo na manufaa.
 
Ufisadi halimashauri?

Uzembe makazini?

Sakata la Bashe na Mpina? Mbona wananchi wapo upande wa Mpina? Kuna nini?

Mahindra tech. Bil 80+ alizopiga January? Mbona kimya?

Waarabu wameleta ufanisi bandari za Tanganyika?

Migomo ya kodi na tozo😅😂

Huko Kenya Rigath Anawalaumu Nis hawakutonya Ruto kuwa wanannchi hawataki muswada kandamizi
Mkuu mbona Kinana alishalisema hili,baada ya Lissu kuwasha mtu sakata la DP world Kinana alipokuwa akimjibu alisema Rais anamasikio marefu anaambiwa kila kitu.Kiukweli anapewa ripoti yyt anayoitaka tena kwa nchi kama Tanzania ambapo dola imejipenyeza kwa raia zaidi Rais huambiwa hata visivyohitajika(hata siri za ndani za watu😂 rejea wakati wa Magu mzee alikuwa anajua hadi tabia za vijana aliowaajiri wanapenda kupiga mambo ambao hawajaoa kama yule RC wa Iringa akawaambia hadharan oeni au inshu beef la Ummy na mwenzake wa Tanga).Kikwete pia aliwahi kusema huwa anaambiwa kila kitu rejea kipindi anamjibu Kagame.Kiujumla Samia anaambiwa kila kitu sasa Inactions zake ndio zinaleta tafsiri kwamba huenda yupo incompetent!
 
Sometimes naonaga hao watu wanakuzwa tu hawana lolote kuweza kubadilisha mwenendo wa rais aliyepo madarakani, wamejaa ujuaji, kujikweza wakila wakashiba hata nchi wanauza hawana uzalendo km inavyohubiriwa, ufisadi hata wao wanafanya vizuri tu
Katika idara ambazo hazitimizi majukumu yao vzr hii ni moja wapo. Wao wanauwezo wa kuamua nani awe kiongozi kwa maslahi mapana ya nchi. Wanataarifa zote lkn bado nchi ni masikini pamoja mtaji wa mali asili
 
Ufisadi halimashauri?

Uzembe makazini?

Sakata la Bashe na Mpina? Mbona wananchi wapo upande wa Mpina? Kuna nini?

Mahindra tech. Bil 80+ alizopiga January? Mbona kimya?

Waarabu wameleta ufanisi bandari za Tanganyika?

Migomo ya kodi na tozo😅😂

Huko Kenya Rigath Anawalaumu Nis hawakutonya Ruto kuwa wanannchi hawataki muswada kandamizi
Asubuhi vijana wenzio wanaamka wankinywa chai wewe unavuta bangi chooni.

Kwa hiyo kwa kumsikia Gachagua anaisema nchi yake immediately umeiĵua job description ya DG TISS?
 
Sometimes naonaga hao watu wanakuzwa tu hawana lolote kuweza kubadilisha mwenendo wa rais aliyepo madarakani, wamejaa ujuaji, kujikweza wakila wakashiba hata nchi wanauza hawana uzalendo km inavyohubiriwa, ufisadi hata wao wanafanya vizuri tu
Hivi ile MI (military intelligence) ina share majukumu na taatifa na Tiss?
Ni ngumu sana kukuta ufisadi uchawa ujuaji na ukwezi, wale wapo wazalendo kweli.
 
Ufisadi halimashauri?

Uzembe makazini?

Sakata la Bashe na Mpina? Mbona wananchi wapo upande wa Mpina? Kuna nini?

Mahindra tech. Bil 80+ alizopiga January? Mbona kimya?

Waarabu wameleta ufanisi bandari za Tanganyika?

Migomo ya kodi na tozo😅😂

Huko Kenya Rigath Anawalaumu Nis hawakutonya Ruto kuwa wanannchi hawataki muswada kandamizi
Yaani Regime ya sasa ijitafakari sana, maana ukweli ni kwamba, kati ya watanzania 10, ni chini ya wawili tu wanaikubali!
Watu wamechoshwa na mambo yanavyoendelea lakini ndo hivyo hawana wa kuwasemea.
 
Wananchi lazima wamuunge mkono kiongozi yeyote anayeonekana kupinga ufisadi hata kama huyo kiongozi hana uhakika na anachokifanya, angalia mtu kama JPM alivokaa kichwani mwa watu.
Kwa sasa tunamtaka PCM a-take over.
Maana ana nia ya kuwatumikia wanyonge.
 
Sometimes naonaga hao watu wanakuzwa tu hawana lolote kuweza kubadilisha mwenendo wa rais aliyepo madarakani, wamejaa ujuaji, kujikweza wakila wakashiba hata nchi wanauza hawana uzalendo km inavyohubiriwa, ufisadi hata wao wanafanya vizuri tu
Ni kweli Mkuu.
TISS wazalendo ni kama walienda na Nyerere.
 
FB_IMG_1654103401853.jpg
 
Ufisadi halimashauri?

Uzembe makazini?

Sakata la Bashe na Mpina? Mbona wananchi wapo upande wa Mpina? Kuna nini?

Mahindra tech. Bil 80+ alizopiga January? Mbona kimya?

Waarabu wameleta ufanisi bandari za Tanganyika?

Migomo ya kodi na tozo😅😂

Huko Kenya Rigath Anawalaumu Nis hawakutonya Ruto kuwa wanannchi hawataki muswada kandamizi
Kwani we unataka nini ili nimwambie leoleo?
 
Hata akiambiwa hafanyi chochote maana yeye ni chura kiziwi
 
Hivi ile MI (military intelligence) ina share majukumu na taatifa na Tiss?
Ni ngumu sana kukuta ufisadi uchawa ujuaji na ukwezi, wale wapo wazalendo kweli.
Huko wamejazana machawa tu kupata pure wazalendo ni mmoja mmoja sana na unakuta hawana nafasi za kumshauri rais moja kwa moja
 
Back
Top Bottom