Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Ulitaka wakwambie wewe "briefings" za kila siku za usalama wa Taifa kwa Rais?Ufisadi halimashauri?
Uzembe makazini?
Sakata la Bashe na Mpina? Mbona wananchi wapo upande wa Mpina? Kuna nini?
Mahindra tech. Bil 80+ alizopiga January? Mbona kimya?
Waarabu wameleta ufanisi bandari za Tanganyika?
Migomo ya kodi na tozo😅😂
Huko Kenya Rigath Anawalaumu Nis hawakutonya Ruto kuwa wanannchi hawataki muswada kandamizi
HahaaaaaaUmeshangaaa? Ulitakiwa kujishangaaa ulivyo na uelewa mdogo wa mambo,
Kwamba hujui majukumu ya Idara nyeti ya ujasusi. Useless fellow.
Hiyo idara nayo inashiriki kwenye ufisadi vinginevyo wangeshatibua mamboUmeshangaaa? Ulitakiwa kujishangaaa ulivyo na uelewa mdogo wa mambo,
Kwamba hujui majukumu ya Idara nyeti ya ujasusi. Useless fellow.
Wanapewa sifa wasizostahili kila Mwaka ripoti ya CAG inasema tunapigwa, wamefeli kuzuia ubadhirifu wa Mali za UmmaSometimes naonaga hao watu wanakuzwa tu hawana lolote kuweza kubadilisha mwenendo wa rais aliyepo madarakani, wamejaa ujuaji, kujikweza wakila wakashiba hata nchi wanauza hawana uzalendo km inavyohubiriwa, ufisadi hata wao wanafanya vizuri tu
Hivi watu mnajua kilichofanya mpina kupewa adhabu ile sio kutoa tuhuma dhidi ya Bashe Bali ni kukiuka taratibu za bunge kwa kuupeleka vielelezo vya tuhuma katika vyombo vya habari wakati huohuo kapeleka kwa spika pia. Yaani ni sawa na shauri liko mahakamani na weweupite kwenye media kulitolea hukumu. Bashe kesi yake inaendelea kwa mujibi wa vielelezo vilivyopelekwa na mpina pia kaadhibiwa kwa kosa lakeTISS wapo busy kulinda maslahi ya wana mapinduzi wa ccm.
Je, hukuona yaliyomkuta Mpina?!
Hakuna kitu kama hicho, ameshasafishwa kuwa hajasema uongoHivi watu mnajua kilichofanya mpina kupewa adhabu ile sio kutoa tuhuma dhidi ya Bashe Bali ni kukiuka taratibu za bunge kwa kuupeleka vielelezo vya tuhuma katika vyombo vya habari wakati huohuo kapeleka kwa spika pia. Yaani ni sawa na shauri liko mahakamani na weweupite kwenye media kulitolea hukumu. Bashe kesi yake inaendelea kwa mujibi wa vielelezo vilivyopelekwa na mpina pia kaadhibiwa kwa kosa lake
Sasa kama walipatiwa nafasi kwa upendeleo na kujuana pasipo kuzingatia uwezo unadhani huo uzalendo watautoa wapi wasakatonge hao, mle kwenye kitengo wengi wamekosa uwezo wa kufikili wako kwa ajili ya masilahi ya chama na sio nchi.Sometimes naonaga hao watu wanakuzwa tu hawana lolote kuweza kubadilisha mwenendo wa rais aliyepo madarakani, wamejaa ujuaji, kujikweza wakila wakashiba hata nchi wanauza hawana uzalendo km inavyohubiriwa, ufisadi hata wao wanafanya vizuri tu