mimi jana nimewapiga chabo akina Lady doctor na Arushaone. mia
Kwanini tena Evelyn Salt? Waambie pia kina Maria Roza Funza dume Katavi Vin Diesel Mwanyasi Passion Lady sweetlady FirstLady1 charminglady WABHEJASANA waje.
Kumbe kulikuwa na harusi ??
Khaa!! unauza uhuru wako at very cheap price. Mnapunguza uwezo wenu wa decision making down to 50%. Japo in the first 6months ratio ni 8:2 baada ya miaka 3 ni 1:1. kati ya miaka 5 hadi 10 ni balaa tupu na mkiweza kupita hapo labda mtaanza kuona utamu wa ndoa baada ya kufikisha miaka 40 au 45 ya ndoa kwa maana nzuri kila mmoja wenu atakuwa na zaidi ya miaka 60 hivi. Sasa kwanini msisubiri umri huo ukifika ndiyo muoane?? Au kwanini msiwe na ndoa ya mkataba wa mwaka mmoja au kipindi fulani na uwe renewable kwa maridhiano ya wote wawili?? what if u meet someone aliyemzidi mwenzi wako?? Mnadhani mnakwenda kwenye jela ya mapenzi for life?? Noooo hiyo ni jela ya ndoa for life.. na mtakoma ubishi:whistle:Nami ni wako daima...mmwaaah!
eti nna nini....... Ngoja Arushaone aje akuambie kilichomfanya adate namimi na asifurukute kamwe.
Ukiona ndoa imefungwa jua kuwa hamtakiwi tena...!!
Mamzalendo hebu angalia join date zetu hapo juu afu ndo hayo maongezi mengine yatafuata..
Yangu ishapita si unaona nina hadi wajukuu...
​kua nako makini sanahaka kababu nakachukia maishani
Please wapitie kina The Boss, Mrembo by Nature DJ wetu BAK kabanga Yericko Nyerere gfsonwin Kipipi uje nao mkuu.
kesho ntakuwa huko moja mbili tutapatia wapi?
Khaa!! unauza uhuru wako at very cheap price. Mnapunguza uwezo wenu wa decision making down to 50%. Japo in the first 6months ratio ni 8:2 baada ya miaka 3 ni 1:1. kati ya miaka 5 hadi 10 ni balaa tupu na mkiweza kupita hapo labda mtaanza kuona utamu wa ndoa baada ya kufikisha miaka 40 au 45 ya ndoa kwa maana nzuri kila mmoja wenu atakuwa na zaidi ya miaka 60 hivi. Sasa kwanini msisubiri umri huo ukifika ndiyo muoane?? Au kwanini msiwe na ndoa ya mkataba wa mwaka mmoja au kipindi fulani na uwe renewable kwa maridhiano ya wote wawili?? what if u meet someone aliyemzidi mwenzi wako?? Mnadhani mnakwenda kwenye jela ya mapenzi for life?? Noooo hiyo ni jela ya ndoa for life.. na mtakoma ubishi:whistle:
cc Lady doctor
Afu unakumbuka this weekend tulipanga tutaenda wapi vile.. keep it in mind..
kuna chimbo liko Sakina usilipime kabisa mkuu.
Mamzalendo hebu angalia join date zetu hapo juu afu ndo hayo maongezi mengine yatafuata..
kuna chimbo liko Sakina usilipime kabisa mkuu.