Leo ndo Leo...., Arushaone na Lady doctor mbele ya baba paroko... Ndoa hiyooo...!!!!!

asante sana pacha, final nimekuwa mke halali wa Arushaone wale waliojidai wakeze bandia sasa wakae mbali na hubby wangu.....!

Halafu mbona mumeo simsomi pacha? Kwanini ananionea wivu kiasi hiki?

mi nahisi shemejio siku hizi anatumia cha arusha
huoni kaja kanisani na t-shirt na jinsi wakati nilimuandalia
suti ndio nikaja saluni muda ule?msamehe tu!!
 

mi nahisi shemejio siku hizi anatumia cha arusha
huoni kaja kanisani na t-shirt na jinsi wakati nilimuandalia
suti ndio nikaja saluni muda ule?msamehe tu!!

ndiyo na mie nashangaa, mumeo kuvaa t shirt na jeans kanisani,
mwambie haache kuvamia mmea utamchizisha atiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…