#COVID19 Leo ndo nimeamini COVID-19 ni hatari

Pole mkuu.
 

Ndio nimekwambia hiyo tofauti kwa sababu ya hofu kwa kama wao nao kusingejengwa hiyo hofu basi sidhani kama ungeona kuwa tofauti sana na sie. Hata hapa bongo tukifanikiwa kujenga watu hofu basi mambo yataenda sawa kama hao wengine.
Hiyo hofu ndiyo inasababishwa na malezi/utamaduni. Na ndiyo msingi wa hoja yangu hapa. Tunafahamu kuwa kimsingi kibaiolojia tunafanana(ukiacha tofauti za kijenetiki/vinasaba), lakini utamaduni ama malezi tunayopata hututofautisha. Sioni haja ya kuanza kusema hata wao wapo kama sisi wakati tayari tushajua tunafanana wapi na kutofautiana wapi.
 
Sheta Magufuli alikufa viungo vyote vikiwa wazi.
Yaani mdomo hadi tigu.
 
Wabongo sisi nimatomaso bila kukumbwa kwanza kuamini ngumu

nilipita juzi ferry niliogopa watu wamejazana jumba la kusubiria magogoni MV ,wenyebarakoa wawili harafu kunatangazo linaendelea vaeni barakoa
Walinzi wapo

Unaishia kusema mungu ,basi
Mtu mmoja kuvaa barakoa hakumkingi na ugonjwa huo iwapo wengine wote hawajvaa. Inatakaiwa tamko la serikali kuwa barakoa ni lazima kwa watu wote.
 
Vita ya kiuchumi hiii. Nchi yetu ina Mali nyingi wanaionea donge. Alisikikaaaaaaaa...........



Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mtu mmoja kuvaa barakoa hakumkingi na ugonjwa huo iwapo wengine wote hawajvaa. Inatakaiwa tamko la serikali kuwa barakoa ni lazima kwa watu wote.
We na familia yako mvae mabarakoa.

Lakini sisi wenye afya zetu madhubuti tunadunda tu.

Nyie vijitu afya mgogoro mtapata tabu sana
 
Ili uamini zaidi, kuwa COVID-19 ipo na inauwa fika mortuary za KCMC na Mawenzi hospital Mkoa wa Kilimanjaro.
Wewe uliisha wahi machwali hipi,inayokaa bila maiti? magonjwa nimengi sio corona tu inayoua,mochwali kujaa maiti sio kipimo cha kuwa tatizo la corona ni kubwa Tanzania
 
Hili nalo litapita, ikifika mwezi wa 9 corona itaenda likizo, tutapumua hadi mwezi wa 12, itarudi tena jan 2022 March hivyo yaan ni miezi mitatu mitatu. Poleni wafiwa.


Dada yangu na wewe umekubali kuwa corona ni hatariii ?
 
Si hofu ya malezi bali kutishwa ndiyo maana wengine wanasema corona inakuzwa.
.
 
Sasa kama barakoa kuvaa shida, kondom wanavaa kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…