Leo ni leo asemaye kesho muongo. Polepole kuongea na Watanzania saa mbili kamili usiku! Usikose!

Mkuu Paskali, sometimes najihisi may be mimi sio mwelewa! Ila if u Come to my sense Naendelea kuamini possibly watu hawajielewi/hawaielewi CCM.
Honestly, CCM haiwezi kutolewa kwa nguvu ya kura,CCM ni mfumo Imara sana sanaaaa….. kama unataka kuitoa CCM basi huna budi kuielewa CCM na pia kuelewa nini maana ya vyama na especially socialist party! Nina maana kusema socialist party!
 
Hii ni operation pambana na wahuni
 

Attachments

  • IMG_20250821_173335_909.jpg
    62.9 KB · Views: 25
Akishasema kinachofuata?
Umeuliza swali fupi lakin ni la msingi mno.
Kwa sasa hakuna maneno wala propaganda ya kuitoa relini CCM.
Hakuna ubaya mpya wa CCM.
Kauli pekee inayoweza kuitwa ya tofauti ni yule atakayekuja na ultimatum ya kutumia nguvu.
mf. Wanasiasa wa Burundi walioko uhamishoni waliapa juzi kati kurudi msitun baada ya mdororo wa kisiasa nchini mwao.
(Hapo unajua men are talking).
HP IS BORING!
 
mnafiki sana wewe
 
Na ile hofu yake ya mkata naniliu, je haitakuwepo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…