Mkuu Tila
Tlaatlaah ,kwanza niendelee kukupongeza kwa michango yako very objective,pia niendelee kukuheshimu kuniita mwalimu!,thanks,asante!
Pili Polepole ni Mwamba wa ukweli!, kitendo tuu cha kuachia ubalozi, kuacha mshahara wake mnono wa Balozi, kuacha marupurupu ya ubalozini, kuacha hadhi ya ubalozi, mtu anayeweza kufanya haya ni Mwamba!.
Kwa vile kuna watu wanapotezwa kiukweli ukweli, ni haki yake kuwa mwangalifu asije potezwa!.
tujifunze kuukubali ukweli bayana na kuwakubali wakweli ndio wataliokoa taifa hili na kulisaidia,na sio machawa!。Machawa kazi yao ni kufurahisha na sio kusaidia,wakweli kazi yao ni kusaidia na sio kufurahisha,hivyo sometimes ukweli unakuwa ni mchungu sana kumeza,hivyo watu hawapendi kuambiwa ukweli.
Kwa vile ile kazi ni so stressful, Dada anapenda kufurahishwa na machawa, ni haki yake kuwapenda machawa wampunguzie stress, lakini sisi wa kumsaidia kwa kumwambia ukweli, tutamwambia tuu, ili kimsaidia hata kama hapendi kuambiwa ukweli, japo machawa wanamfurahisha to reduce stress, ni sisi wakweli ndio tutamsaidia kusonga mbele na kutusua!.
P