Leo ni leo asemaye kesho muongo. Polepole kuongea na Watanzania saa mbili kamili usiku! Usikose!

Red flag! Lets wait and see.. hakunaga accuracy ya kujificha 100%>> kwenye maswala ya Cyber Warfare. Hadi asubuhi mkiona kimya mjue tayari
Ila wakifanya huu upuuzi nafikiri nitawaona wajinga watazidisha chuki, hasira za wananchi juu yao
 
PAS
Bado huamini Kuwa CCM inaelekea kufa.

Samia amepoteza kila sifa ya kuwa Rais wa nchi, anapambana na Polepole kwa nguvu na kudeal na Maisha ya ndugu zake...

Leo ngoja nifatile huko site wametaka kumfanya nini Polepole na nini alitaka kusema
 
Ila wakifanya huu upuuzi nafikiri nitawaona wajinga watazidisha chuki, hasira za wananchi juu yao
achana na mtu anaitwa mafia, au tajiri namba moja katika nchi au namba mbili.. hao watu ni hatari sana ikija kwenye maslahi yao.. wapo tayari kwa lolote
 
Even crazy ana haki ya kusikilizwa..... Pole pole ana matatizo ya akili, unapewa nafasi ya kuwa ambassador una resign ili upate kiki? Wenzie watoto wetu tunaomba Mungu kila siku wapate nafasi kama hizo...ke nge kweli huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…