Leo ni leo asemaye kesho muongo. Polepole kuongea na Watanzania saa mbili kamili usiku! Usikose!

Watu wajazana takwimu katika jukwaa moja linasoma, huku makumi ya majukwaa lukuki yamejaa pomoni kusikiliza jambo lao linalowagusa kama raia makini

LIVE: HUMPHREY POLEPOLE KUZUNGUMZA NA UMMA MUDA MFUPI UJAO​

160.2 K views · Streamed 1 hour ago

Watu 160,200 tayari wamejitokeza katika mkutano huu wa usiku katika jukwaa moja, bado majukwaa mengine pia



Huu mkutano wa ki Dijitali unakwenda kufanya makubwa, doria haya kawaida ya askari wa miguu wa polisi haiwezi kuwatawanya malaki ya watanzania katika kikao hiki cha wazi kuhusu uhuni wa watawala
 
Jamani niko huku kwasemangube korogwe namsubiri polepole huu moto ni noma imajini kwasemangube Hilo jina tu linatisha ila tumeweka bando Kwa ajili ya pole pole.

dah uko sehemu poa sana, korogwe ni moja kati ya maeneo mazuri sana tanzagiza sema tu wrong people live there, lkn ni eneo zuri sana madhari, ardhi yake just perfect, i love korogwe lkn bila ya watu wa kotrogwe ...
 
Kama wamewakamata ndugu zake au mama yake mzazi nakumtushia kuwa akiongea wanauliwa ukiwa ndio wewe unafanyaje
mimi niweke pembeni mkuu, hapa tunamjadili polepole kashatusikilizisha sana press zake mkuu.

mfano ulotoa wa ndugu zake au mama yake yeye mwenyewe alishasema vurugu kama hizo hazitamrudisha nyuma --- maana mbinu za chama chake anazijua vizuri
 
Hakuna kitu hapa mkuu...tunachezeshwa shere tu....wanasiasa wote wasemge tu kumamakeh...
 
Polepole anajua kucheza na wahuni nilijua lazima leo hawezi kutokea inawezekana kesho
 
Polepole anajua kucheza na wahuni nilijua lazima leo hawezi kutokea inawezekana kesho
 
Mungu hakupi vyote. Nyie mmepewa kushabikia umbeya lkn sio madaraka ya nchi hii.
Wakt kule wahuni hawajui ushabiki huo, Mungu kawapa nguvu za kimamlaka kuwatawala kina Slowslow na washabiki wao. Wahuni wamemfanya Slowslow ss hv anaishi mafichoni huku wao wala bata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…