Leo ni leo asemaye kesho muongo. Polepole kuongea na Watanzania saa mbili kamili usiku! Usikose!

mwenyewe alishasema vurugu kama hizo hazitamrudisha nyuma --- maana mbinu za chama chake anazijua vizuri
Mbinu za CCM hubadilika .Kamuulize Lowasa alipogombea uraisi CHADEMA alisema mbinu zote CCM wanatumia kushinda uraisi anazijua vizuri atazidhibiti

Aliambulia kapa CCM ni system ukiondoka leo system nzima inabadilika na mifumo yake

Ndio maana Mpina na Polepole CCM tunawaona mabwege tu

CCM system zake haziko static ni dynamic mhama CCM yeyote kwenda upinzani asiwadanganye kuwa ohhh mimi najua hiyo ni past CCM tunajikita zaidi kwrnye mbinu present na future sio past za chaguzi zilizopita
 
Mkata switch hajafanya yake?
 
Watanzania hatupendi mabadiliko na wala hatusubiri press kwasababu ya kuwa na kuu ya mabadiliko Bali watanzania sisi ni wambea....tunasubiri kwa ajili ya umbea tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…