econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 25,522
- 40,795
Samia yupo hadi 2035.Hii ndio anaanza awamu yake, mtaweukwa akili MBWA nyie
Kasome Katiba vizuri usipende kuropoka. Samiah awamu inaisha mwaka 2030 kama atakuwa hai lakini.
Samia yupo hadi 2035.Hii ndio anaanza awamu yake, mtaweukwa akili MBWA nyie
yupo. Yuko sawa, anaendelea kuset mitambo! IntelligentYuko wapi au wame blacklist
Aise mwenye namb ampigieKosa la Polepole kutoshia atasema na kutaja muda.
Angesema kwa kushitukiza.
Amewapa muda wa kujipanga.
Weka hapa unayoijuaAise mwenye namb ampigie
Hawawezi kumkamata. Unadhani yupo TZ ? 🤣Siyo kawaida,itakuwa jamaa washakula kichwa!!
Ya zamani. Kuwafool wahuni.Ile video aliyoionyesha akiwa askari monument ni wapi?
Itakuwa Polisi wa nchi aliko wamemkamata. Ila akiwa nchi yenye demokrasia atapona.Au tuseme zimefanyika international cooperation. Nani ajuaye?
Hizi teknolojia ni hatari balaa.
+255 786 146 700Weka hapa unayoijua
Wakimkatamata boya nyekundu zitashushwa ianze phase two 😅😅Pole pole wamepita nae?
Mpina ni Pandikizi lenu.surely?
Polepole ni mwamba?
mwamba unaojieleza kwa hofu tena ukiwa mafichoni?
si afadhali hata mpina na malisa undio wanaweza kua wamba MWALIMU paskali 🐒
Nipo nae tunaangalia tamthilia ya broken pieces DStvUmemteka?
Hawezi, Mayalla ni Opportunist…… he is neutralSiku Pascal Mayalla utakaposimama na kusimamia kile unachokiamini kwa 100% hakika kuanzia siku hiyo nitakuwa mfuasi wako
Ndio maana nikampa 100% kama ataweza..Hawezi, Mayalla ni Opportunist…… he is neutral
Mayalla anazeeka bila Teuzi, the worst partNdio maana nikampa 100% kama ataweza..