Sasa mbona hajatokea kwa press???Hawawezi kumkamata. Unadhani yupo TZ ? 🤣
Remember alipitia mafunzo ya intelligence na alipokuwa CuBa alijiunga kwenye zile Military Intelligence Training zinazotolewa na private entity
Hawezi kuwa mzembe anawajua CCM next move zao zote