Leo ni leo asemaye kesho muongo. Polepole kuongea na Watanzania saa mbili kamili usiku! Usikose!

Leo ni leo asemaye kesho muongo. Polepole kuongea na Watanzania saa mbili kamili usiku! Usikose!

Niwe mkweli, kuingia mitini kwa Polepole Leo bila taarifa yoyote kazingua Sana. Alitakiwa atoe taarifa ya kuhairisha Mkutano wake. Leo watu wengi wamefurika kumsuburia Polepole halafu hajatokezea.

Kazingua big time hata kama ni kwa bahati mbaya.
Sasa mkuu unamlaumu wakati ujui Nini kimempata
 
hujui kapatwa na lipi, familia yake imepitia nini, ndugu zake wamepatwa na lipi, then unakuja lalamika hapa

Silalalmiki, nasema kwa mwitkio mkubwa wa Leo angetoa taarifa ya kuhairishwa kwa Mkutano.
 
Niwe mkweli, kuingia mitini kwa Polepole Leo bila taarifa yoyote kazingua Sana. Alitakiwa atoe taarifa ya kuhairisha Mkutano wake. Leo watu wengi wamefurika kumsuburia Polepole halafu hajatokezea.

Kazingua big time hata kama ni kwa bahati mbaya.
Nasikia kapata ajali ya gari ila Sina uhakika sana
 
Jizi la Ccm ni jizi la Ccm tu likipewa asali yakutosha usitegemee atawageuka wenzake
 
Kitu kama hili utakuta mama yake aligongwa mande na wahuni akabeba mimba likazaliwa litoto chokoo, waislam toto la aina hii tunaita mwanaharamu
 
Back
Top Bottom