Cha kushangaza zaidi wanaotumwa kufanya Doria Mitandaoni na kukesha wakizunguka Mwananyamala ni Watoto wa Masikini, ambao Wazazi wao hawakuhusika na Ufisadi wala Mauaji.(Polepole anaishi Mwananyamala Komakoma baada ya kutoka Morogoro)
Hofu imetanda kwa Watawala waliofanya Uhalifu, Maana wanaenda kuanikwa hadharani. huku mauaji yaliyofanyika wahusika wote wanaenda kutajwa.
Vikao vya Uteuzi wa Wagombea Ubunge wa CCM Katika uchaguzi ambao hautakuwepo vimezimwa na kishindo cha Polepole, huku Mkata Swichi akipigwa na Butwaa.