Watanganyika wazalendo kama mimi.Nani akutekelezee unataka??
Watanganyika wazalendo kama mimi.Nani akutekelezee unataka??
Niliisha shauri tuachane ma vyama vya siasa, tuunde vikundi vya kijeshi yani CUF, ACT, CHADEMA zigeuke sasa ziwe kama M23, HAMAS, TALIBAN ujinga huu utaisha mara moja na heshima itarudi.Umeandika vema kabisa, sasa suggest tutekeleze vipi? leta mapendekezo
Wewe ni mpuuzi hivi humsikii anavyolia kutolewa Ubunge?Umri wako please? Mtu kaacha paspoti ya kidiplomasia, kaacha mshahara wa Balozi wewe ukiwa hapo kwa Mme wa dada yako unasema anataka uteuzi? Shame upon you!
Duh...!, nilidhani atashuhudia tumpeleke tumpeleke...!.Wanabodi,
Inasemekana leo Polepole anakuja na nyundo kukomelea msumari wa mwisho kwenye,naniliu ya chama chake,baada ya hapo ndipo safari ya tumpeleke tumpeleke ianze!
Wanabodi
Nimejitolea kuwa mwalimu wa kujitolea wa somo la katiba, sheria na haki, ili kuwaelimisha Watanzania kuhusu haki zao na wajibu wao.
Kujitolea kuwa mwalimu somo la katiba, na sheria, nimehamasishwa na yeye mwenyewe Rais Samia ana nia njema Watanzania wapate haki, ila Watanzania hawajui Haki! Je, Tumsaidie kuelimisha umma Katiba, Sheria na Haki au? hebu msikilize mwenyewe akizungumza
View: https://youtu.be/PZ_8JFw_5LM?si=LqdibxLmRJXzlhQY ni kufuatia hoja hii, ndipo mimi nikajitolea Kipindi cha TV, Kutoa Elimu ya Katiba, Sheria na Haki, Kuanza Jumapili Hii Kupita Channel Ten
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=LdYf8WVJTIKw8KCu
Kanuni yenyewe ya vicarious liability ni hii
"Vicarious liability exists due to the legal doctrine of respondeat superior, which essentially means “let the master answer.” Employers, parents or others with a superior legal relationship to someone who does harm are expected to answer for those who are under their control.
Vicarious liability rules also exist in order to provide protection to victims of injury. Often, an individual employee or a child will not have the resources to provide compensation to those they harm through their negligence or wrongful actions. But companies and parents generally do.
Through the doctrine of vicarious liability, those who have resources (including the ability to buy insurance) and who were in a position to prevent harm but who failed to do so can be held accountable so victims do not go uncompensated"
Tanzania tuna bahati nzuri sana hatuna wanasheria aggressive wa kutetea watu, vinginevyo tungetumia private investigations kuwabaini hawa 'wasiojulikana' na kuwatundika msalabani, hii ingewafanya viongozi wetu kuwa more responsible for the life of its citizens.
Paskali
Kwani Polepole alikwisharudi nchini? Nyie watu mna episodes za ajabu sana. Ila kama ni kweli nitafurahi kusikia Polepole 'ananywea kikombe' alichokuwa anawanywesha wengine kipindi cha Magufuli. Namchukia sana to be honestDuh...!, nilidhani atashuhudia tumpeleke tumpeleke...!.
Hii ni katika kukumbushana tuu, kama ni kweli aliyekamatwa ni Humphrey Polepole, nawashauri mfanyieni tuu mohojiano kama ana hatia mfikisheni kwenye vyombo vya sheria, msiimwage bure damu yake, mtajikuta mnaponza bure bosi wenu bila ya nyinyi kujijua na yeye karma ikamshukia kama yule mtangulizi wake!.
Ni ushauri tuu!.
P
Mkuu umeongea point sana yaani mtu upo tayari kufia mfumo ambao bado utateka na kuua watu. Huyu jamaa alikuwa mjinga sana na hana mtu wa kumshauri. Alitakiwa aeleze kuwa tatizo ni mfumo na sio Mama Samia. Aeleze mabaya Ya Magu ambayo Samia anayaendeleza. Na kuja kupigania katiba mpya na kuanzisha mfumo Mpya. Sasa jamaa anaenda kufa kama mbwa koko aliyegongwa na fuso. Huyu tunamsahau fasta sana yaani unafia njaa badala ya malengo ya nchi kwa uzima.Polepole muache anywee kikombe alichokuwa anawanywesha akina Ben Saanane wakati wa Magufuli. No regrets
Ni kweli ata trend kwa hashtags za #FreePolepole kwa wiki moja halafu ANASAHAULIKA kama Mdude_NyagaliMkuu umeongea point sana yaani mtu upo tayari kufia mfumo ambao bado utateka na kuua watu. Huyu jamaa alikuwa mjinga sana na hana mtu wa kumshauri. Alitakiwa aeleze kuwa tatizo ni mfumo na sio Mama Samia. Aeleze mabaya Ya Magu ambayo Samia anayaendeleza. Na kuja kupigania katiba mpya na kuanzisha mfumo Mpya. Sasa jamaa anaenda kufa kama mbwa koko aliyegongwa na fuso. Huyu tunamsahau fasta sana yaani unafia njaa badala ya malengo ya nchi kwa uzima.
Kumbe ndiyovl sababu!!Wewe ni mpuuzi hivi humsikii anavyolia kutolewa Ubunge?
Ubalozi ni nafasi za kipuuzi na yeye unaona kutolewa Uenezi kupewa Ubunge haikuuma ila kupewa ubalozi nchi masikini kama Cuba
Polepole alikuwa Cuba ambapo alikuwa Balozi. Alijiuzulu kazi ya Ubalozi na kuanza kuishutumu Serikali akiwa Cuba. Polisi walitoa taarifa kuwa wanamhitaji afike kituo cha Polisi ili wakamhoji kuhusu tuhuma zinazomhusu. Officially Polepole hajarudi TanzaniaSwala la Polepole lisipite ,naona tushasahau...Nguvu za kumpigania zimekwisha ,na ndivyo wasiojulikana walivyomtishia Maxence Melo kwamba tutakupoteza halafu waTZ watapiga kelele siku mbili kisha watakusahau ,ni kweli Polepole waTZ hatumpiganii tushakaa pembeni ,wasioujulikana wameshinda.
#Justice For Polepole #Justice 4 Sumu ya Nyigu Mudude Nyagali.
CubaWhere is Polepole?!
Sawa Sawa ,unaongea hivyo kwakuwa siyo ndugu yako.Polepole alikuwa Cuba ambapo alikuwa Balozi. Alijiuzulu kazi ya Ubalozi na kuanza kuishutumu Serikali akiwa Cuba. Polisi walitoa taarifa kuwa wanamhitaji afike kituo cha Polisi ili wakamhoji kuhusu tuhuma zinazomhusu. Officially Polepole hajarudi Tanzania
DuhAngalia eee usijekutekwa
Mtafute Polepole hukohuko YouTube alikokuwa anaongea live, sisi hayatuhusuSawa Sawa ,unaongea hivyo kwakuwa siyo ndugu yako.
Kama yupo Cuba kwanini tangia taarifa ya kutekwa hajaonekana Libe tena kwenye mitandao ya kijamii/youtube?
Ungemkanya mapema alivyo anza kwenda live pengine sasa hivi usingekuwa unamtafuta alipoSawa Sawa ,unaongea hivyo kwakuwa siyo ndugu yako.
Kama yupo Cuba kwanini tangia taarifa ya kutekwa hajaonekana Libe tena kwenye mitandao ya kijamii/youtube?
Nilivyo ona Samia anatabasamu alipo shuka airport mwanza kuendelea na kampeni siku chache (Ile weekend) baada ya polepole kutekwa baasi nikajua shughuli weekend Ile mmeimalizaUngemkanya mapema alivyo anza kwenda live pengine sasa hivi usingekuwa unamtafuta alipo