Mkuu Tango
Tango elamu , kwanza, nilikusamehe kwa kujua ni upya nikidhani wewe ni hili ingizo la influx ya gen zii, hivyo hujui sheria za jf, nilipokucheki, kumbe wewe ni member humu toka Apr 26, 2020, for more than 5 years!, you should have known better sheria za jf, ulichokifanya ni ni moja ya kosa kubwa la jf linaloitwa name calling, na nikikuripoti unakula ban outright!.
Moja ya sifa kubwa za jf, ni haki na uhuru wa kitu kinachoitwa anonymity, member anajisajili kwa jina la kificho ili awe free asijulikane who he or she is real is, hivyo anakuwa yuko free ku flow chochote.
Hata ukitokea kumjua member fulani for real who she real is, hutakiwi kumtaja, utaondoa siri ya jina lake na kujulikana hivyo hata kumuhatarishia maisha!.
Hivyo members humu wana haki ya kuwa na multiple IDs ni haki yao, ni uhuru wao, haupaswi kuingiliwa!.
Tukija kwangu mimi tangu nimeingia jf, nimejiunga with verified name, sijawahi kuwa na jina la kificho, wala sijawahi kuwa na multiple IDs, mimi nimekusamehe kwavile nina jicho la roho hukujua utendalo, ila muombe msamaha Mkuu
choice variable, akikuripoti unakula ban!
P