TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,930
- 19,156
Online republic has very little influence to Tanzania politicsO.005
Online republic has very little influence to Tanzania politicsO.005
Utumbo mpana huuCopy & Paste from Setfree
Wapendwa, leo kuna tukio la kustaajabisha lililotokea katika nchi fulani. Tukio hilo linafanana sana na kile ambacho Biblia inatufundisha kuhusu kuja kwa Bwana Yesu Kristo. Katika nchi hiyo, kuna mwanasiasa mwenye utata, anayeitwa Lopelope. Alitangaza kwamba leo saa mbili atalihutubia taifa hilo "live." Watu walijiandaa kumsikiliza tangu asubuhi, wakakaa tayari mbele ya simu zao na kompyuta, wakitarajia kumuona "online" saa mbili kamili. Lakini kilichotokea ni tofauti kabisa – saa mbili ikapita, saa tatu ikapita, bado hajatokea. Hatimaye mitandao iliyokuwa imepanga kurusha "live" hotuba yake ikakata matangazo. Watu wakaingiwa na hasira na kuanza kulalamika: “Kwanini Lopelope hajatokea?”
Ndugu zangu, tukio hilo ni mfano halisi wa fundisho la Bwana Yesu. Biblia inasema:
“Kesheni basi kwa maana hamjui siku wala saa atakapokuja Mwana wa Adamu.” (Mathayo 25:13)
“Basi nanyi jiwekeni tayari; kwa kuwa saa msiyodhani ndipo ajapo Mwana wa Adamu.” (Luka 12:40)
Yesu hajasema ni lini atarudi. Watu wengi wanataka kujua tarehe na saa, lakini hakuna anayeijua isipokuwa Baba wa Mbinguni (Mathayo 24:36). Kazi yetu siyo kujua tarehe, bali ni kukesha na kujiandaa kila wakati.
Fikiria waliokuwa wanamngojea Lopelope: walikuwa macho, walijiandaa mapema, lakini wakachoka, wakavunjika moyo kwa sababu hakutokea kwa muda walioutarajia. Vivyo hivyo, watu wengi leo wamepunguza bidii ya kumngojea Yesu kwa sababu wanaona kana kwamba amekawia.
Yesu atakuja ghafla, kwa siku na saa wasiyoitarajia watu, kisha kufumba na kufumbua atawanyakua wote waliotubu dhambi zao na kumwamini, na kuwapeleka mbinguni.
Kwa mantiki hiyo, Yesu anaweza kuja hata leo usiku. Hivyo tujiweke tayari kama wale wanawali wenye busara (Mathayo 25). Itakuwa kilio na kusaga meno kwa watu wasiokesha, maana wataachwa duniani; na dunia yote itapatwa na dhiki kuu ambayo haijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa ulimwengu.
Copy & Paste from Setfree
ulofa ni umaskini mbaya sana aise dah 🐒Cha kushangaza zaidi wanaotumwa kufanya Doria Mitandaoni na kukesha wakizunguka Mwananyamala ni Watoto wa Masikini, ambao Wazazi wao hawakuhusika na Ufisadi wala Mauaji.(Polepole anaishi Mwananyamala Komakoma baada ya kutoka Morogoro)
Hofu imetanda kwa Watawala waliofanya Uhalifu, Maana wanaenda kuanikwa hadharani. huku mauaji yaliyofanyika wahusika wote wanaenda kutajwa.
Vikao vya Uteuzi wa Wagombea Ubunge wa CCM Katika uchaguzi ambao hautakuwepo vimezimwa na kishindo cha Polepole, huku Mkata Swichi akipigwa na Butwaa.
Kwenye Utumbo upo peke yako huko unapovuta Bangi ghetto kwa ibilisi wa ccmTupo wengi tunamsubiri aongee utumbo wake
Kiswahili hujui? au ni wale mkienda America week tayari mnaongea kiswanglish kwa kujidai ni kama ObamaOnline republic has very little influence to Tanzania politics
ibilisi wa ccm wanaisiginya Katiba kwa kuzuia mikutano ya chadema na kuwapora Luzuku kimyume cha sheria,Maandamano katika mitandao na barabarani yanaonyesha demokrasia duni
CASE STUDY LATIN AMERICA
Kwa kweli, maandamano ya mabadiliko ni ya kawaida katika eneo lote, hasa Amerika ya Kati na mataifa ya Latin Amerika . Katika miaka ya hivi majuzi, maandamano yamesababisha mabadiliko makubwa, kama vile huko Chile, lakini mara nyingi yanatokea, kama vile Venezuela, Brazili, na Bolivia. Kwa sababu zinazohusiana na historia na tamaduni zao za kitaasisi , serikali nyingi mara kwa mara hushindwa kushughulikia matatizo ya umma kwa ujumla, ikiwa ni pamoja na ukosefu wa maendeleo ya kiuchumi na kazi nzuri, huduma duni au kutokuwepo usalama. Huku kukiwa na viwango vya juu vya usawa wa kiuchumi, ufisadi wa kisiasa na wizi umekithiri.
Matokeo yake, watu wanapoteza imani katika sanduku la kura na michakato ya jadi ya kidemokrasia na kuingia mitaani, mara nyingi sana kwa uharibifu na bila madai yoyote ya wazi au maalum. Ni jambo la kawaida kwa makundi nyemelezi ya upinzani, vyama au maslahi maalum kutumia hali hii kuibinya serikali kandamizi kungolewa madarakani
Muhimu zaidi, maandamano na harakati kama hizo huibuka kutoka upande wa kushoto (hivi karibuni huko Chile, Peru na Kolombia) na kulia (huko Brazili) na madai yao ya hatua za haraka, moja kwa moja huunda muundo wa mara kwa mara wa populism / vuguvugu/ movement .
Viongozi wa wenye mvuto wa hoja kupitia mikutano (karismatiki )huibuka, wakiahidi kutokomeza ufisadi, kukwepa kodi, kubinya haki ya kidemokrasia ndani ya vyama vya kisiasa na hata watawala kujichagua wenyewe kwa kukanyaga katiba
Hapo sasa tujiulize wote. Kwanza hajulikani ni kijana au mzee, mzima au mgonjwaMtu anawezaje kuwa hana familia? Anakua katokea wapi?
RPC mlilo kasema atafanya balaa ili asitaafuu na laana nyingi ccm ya sasa ni ya kishetani zaidiAkawie tu, muhimu afike.
Maana hawa mboga mboga ni tawi la ibilisi hapa Tanganyika.
Kifo ni kifo...kauli tata sana.
Yuko hoi mbaya 😁😁😁Huku Polepole na press yake, kule Gwajima na siku 10 zake kwa Gavoo
Hujakaa sawa, Lissu na mashahidi wake watatu🤣
kuna mtu sehemu sukari inapanda, sukari inashuka!! Kihoro kipo juu
Kichwa chake kinapanda dau kila siku malipo yanafanyika kwa crypto wenye access blackmarket washachukuwa contract
ibilisi wa ccm wanamroga polepole kwa nguvu kubwa toka Pemba na unguja wanatuma majini kama mvua drone Asilia kama zoteIle vita kubwa, hatuwezi jua huko underground nini kimetokea
Bangi za Malawi unazovuta iko siku zitakulaza pabayaCha kushangaza zaidi wanaotumwa kufanya Doria Mitandaoni na kukesha wakizunguka Mwananyamala ni Watoto wa Masikini, ambao Wazazi wao hawakuhusika na Ufisadi wala Mauaji.(Polepole anaishi Mwananyamala Komakoma baada ya kutoka Morogoro)
Hofu imetanda kwa Watawala waliofanya Uhalifu, Maana wanaenda kuanikwa hadharani. huku mauaji yaliyofanyika wahusika wote wanaenda kutajwa.
Vikao vya Uteuzi wa Wagombea Ubunge wa CCM Katika uchaguzi ambao hautakuwepo vimezimwa na kishindo cha Polepole, huku Mkata Swichi akipigwa na Butwaa.
Wewe choka mapema lakini wenzako wanasubiria ingawa ibilisi wa ccm wamemtumia majini milion 700 huko alipobinafsi nilikua nimemuwekea deadline hii ndo ilikua speech yake ya mwisho ikiwa nyepesi sitomtilia maanani tena --- ila mpaka sasa naona kaingia mitini