Leo ni leo asemaye kesho muongo. Polepole kuongea na Watanzania saa mbili kamili usiku! Usikose!

Cha kushangaza zaidi wanaotumwa kufanya Doria Mitandaoni na kukesha wakizunguka Mwananyamala ni Watoto wa Masikini, ambao Wazazi wao hawakuhusika na Ufisadi wala Mauaji.(Polepole anaishi Mwananyamala Komakoma baada ya kutoka Morogoro)

Hofu imetanda kwa Watawala waliofanya Uhalifu, Maana wanaenda kuanikwa hadharani. huku mauaji yaliyofanyika wahusika wote wanaenda kutajwa.

Vikao vya Uteuzi wa Wagombea Ubunge wa CCM Katika uchaguzi ambao hautakuwepo vimezimwa na kishindo cha Polepole, huku Mkata Swichi akipigwa na Butwaa.
Mkata swichi anafurahi perdiem na overtime leo
 
Polepole yupo salama kweli jamani?
Huzuni imenitanda usingizi umeota mbawa.
 
Mbona Yuko live? Ile anawataja kina mwinyi Samia majaliwa nchimbi na watoto wao ni yalini? Anamtaja warioba na chalamila ni ya lini?
Rejea huu wimbo
images - 2025-08-21T233023.017.jpeg
 
Huku Polepole na press yake, kule Gwajima na siku 10 zake kwa Gavoo

Hujakaa sawa, Lissu na mashahidi wake watatu🤣

kuna mtu sehemu sukari inapanda, sukari inashuka!! Kihoro kipo juu
Bado NOVENA ya Wakatoliki
 
Masikini Bavicha wameamua kujifariji na kujiliwaza😀
 
Ni game plan tu ya kuhakikisha upuuzi wa ccm Dodoma haupati Airtime
Kwa kweli kama yuko salama nitashusha pumzi, ila mwambie achukue tahadhari zote ikiwezekana pia awe anarusha video zilizorekodiwa, maana kurusha live watamsoma location
 
Copy & Paste from Setfree

Wapendwa, leo kuna tukio la kustaajabisha lililotokea katika nchi fulani. Tukio hilo linafanana sana na kile ambacho Biblia inatufundisha kuhusu kuja kwa Bwana Yesu Kristo. Katika nchi hiyo, kuna mwanasiasa mwenye utata, anayeitwa Lopelope. Alitangaza kwamba leo saa mbili atalihutubia taifa hilo "live." Watu walijiandaa kumsikiliza tangu asubuhi, wakakaa tayari mbele ya simu zao na kompyuta, wakitarajia kumuona "online" saa mbili kamili. Lakini kilichotokea ni tofauti kabisa – saa mbili ikapita, saa tatu ikapita, bado hajatokea. Hatimaye mitandao iliyokuwa imepanga kurusha "live" hotuba yake ikakata matangazo. Watu wakaingiwa na hasira na kuanza kulalamika: “Kwanini Lopelope hajatokea?”

Ndugu zangu, tukio hilo ni mfano halisi wa fundisho la Bwana Yesu. Biblia inasema:
“Kesheni basi kwa maana hamjui siku wala saa atakapokuja Mwana wa Adamu.” (Mathayo 25:13)
“Basi nanyi jiwekeni tayari; kwa kuwa saa msiyodhani ndipo ajapo Mwana wa Adamu.” (Luka 12:40)

Yesu hajasema ni lini atarudi. Watu wengi wanataka kujua tarehe na saa, lakini hakuna anayeijua isipokuwa Baba wa Mbinguni (Mathayo 24:36). Kazi yetu siyo kujua tarehe, bali ni kukesha na kujiandaa kila wakati.

Fikiria waliokuwa wanamngojea Lopelope: walikuwa macho, walijiandaa mapema, lakini wakachoka, wakavunjika moyo kwa sababu hakutokea kwa muda walioutarajia. Vivyo hivyo, watu wengi leo wamepunguza bidii ya kumngojea Yesu kwa sababu wanaona kana kwamba amekawia.

Yesu atakuja ghafla, kwa siku na saa wasiyoitarajia watu, kisha kufumba na kufumbua atawanyakua wote waliotubu dhambi zao na kumwamini, na kuwapeleka mbinguni.

Kwa mantiki hiyo, Yesu anaweza kuja hata leo usiku. Hivyo tujiweke tayari kama wale wanawali wenye busara (Mathayo 25). Itakuwa kilio na kusaga meno kwa watu wasiokesha, maana wataachwa duniani; na dunia yote itapatwa na dhiki kuu ambayo haijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa ulimwengu.

Back
Top Bottom