kila mtu ana ubaya kwa majira ya ubaya, na kila mtu ni mzuri kwa nyakati zake. Kwa sasa hivi Sauti za kina Gwajima na Polepole ni sauti za wananchi. Wako kinyume na wahuni watesi wa Taifa hili. hivyo waungwe mkono.Hahahahaaha.
Hata El alikuwa mpango wa Mungu, Kuna siku tutasema hata Rostam ni mpango wa Mungu.
Kuna kipindi ilisemwa JK ni chaguo cha Mungu.
Ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
Yeriko inaanguka Kwa Kasi sana na hakuna wa kuzuia
21st to remember mkata switch atawahi sana leoWanabodiοΌ
Saa hizi ni saa 12 οΌ00 asubuhiοΌ kumekucha na makucha yakeοΌ
Siku ya leoοΌ tarehe 21οΌleo ndio siku ya sikuοΌ imebatizwa jina la βThe Twenty First to rememberοΌβοΌ yaani ni βIshirini na moja ya kukumbukwaοΌβγ
Saa mbili kamili usikuοΌyule Mwamba Humphey Polepole anapanda live kupitia mitandao ya kijamii kushusha live nondo za kufa mtuοΌγ
Inasemekana leo Polepole anakuja na nyundo kukomelea msumari wa mwisho kwenyeοΌnaniliu ya chama chakeοΌbaada ya hapo ndipo safari ya tumpeleke tumpeleke ianzeοΌ
Hii ya leo sii ya kukosaοΌ
UsikoseοΌ
Paskaliγ
Rejea za Polepoke
Kuna wengi wanamjua Polepole kijuu juu, mimi nimeisha muanzishia nyuzi tatu humu jf kumhusu
- Humprey Polepole: Kinachoendelea BMK is Not Right", Live on Ch.10
- Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!
- Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa?
View: https://youtu.be/SYJjy4zg7ssMsikilize hapa anavyoongea kama Mwalimu Nyerere
- Ushauri Balozi HP: Ukiongoka, Kujitenga na Uovu na Kusema Ukweli, Sema Ukweli Wote Sio Ukweli Nusu Nusu!. Jitenge Jumla Sio Mguu Ndani, Mguu Nje!
- GE2025 - Polepole: Shujaa, Mzalendo wa Kweli Kama Nyerere, Kang'atuka Kama Nyerere!, Amesema Ukweli Nusu!, Je Atoe Mguu Nje Aseme Ukweli Wote, Apewe Maua Yake?
- GE2025 - Alichokifanya Polepole, Kumbe Sio yeye!, Ni Ule Mwanga!, Sasa Anatakiwa Kusimama Pembeni Mazima na Sio Mguu Ndani, Mguu Nje!. YEYE ATATENDA!.
- GE2025 - Polepole ni muda wa kujitoa mwenyewe CCM kabla hujafukuzwa, utaheshimika zaidiοΌ
- Polepole, Ubalozi kwaheri. Huwezi kukata tawi la mti uliokalia. Shuka kwanza chini, simama kwa pembeni ndipo upige hilo shoka moja Mbuyu chini
- GE2025 - Ushauri wa Bure kwa Balozi Polepole, Usitatizwe na Wahuni!, Rais wa TZ 2025 Hawekwi na Wahuni, CCM au Watanzania, Anawekwa na YEYE Pekee!. Jinyamazie!
kila mtu ana ubaya kwa majira ya ubaya, na kila mtu ni mzuri kwa nyakati zake. Kwa sasa hivi Sauti za kina Gwajima na Polepole ni sauti za wananchi. Wako kinyume na wahuni watesi wa Taifa hili. hivyo waungwe mkono.
siku Rostam akiwa kinyume na alivyo sasa hivi tutamkubali. akiachana na genge la wapiga nchi na kuhamia kwa wananchi tutampokea. Kukosa kupo ndio maana kuna kutubu.
Una uhakika gani? Kama Gwajima na HP sio wapigania maslahi au wako upande wa genge pinzani la wanaowaita wahuni wanataka watumie wananchi tu kama silaha?..
Siwezi kumuamini mnufaika wa CCM eti nikaamini leo amekuwa malaika baada tu yakutoka kwenye mfumo au maslahi yake kukatwa baada ya mfumo kubadirika.
Siwezi kumuamini kiumbe yeyote alikuwa chini ya awamu ya tano zaidi ya Marehemu JPM mwenyewe, hawa wengine walikuwa wanaicheza ngoma tu ya JPM ili nao waaminikee lakini hawana uhalisia wala dhamira ya JPM.
Ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
Ila ajue humuhumu watakuja kutokea mashahidi wa ndani ya kibuyu.WanabodiοΌ
Saa hizi ni saa 12 οΌ00 asubuhiοΌ kumekucha na makucha yakeοΌ
Siku ya leoοΌ tarehe 21οΌleo ndio siku ya sikuοΌ imebatizwa jina la βThe Twenty First to rememberοΌβοΌ yaani ni βIshirini na moja ya kukumbukwaοΌβγ
Saa mbili kamili usikuοΌyule Mwamba Humphey Polepole anapanda live kupitia mitandao ya kijamii kushusha live nondo za kufa mtuοΌγ
Inasemekana leo Polepole anakuja na nyundo kukomelea msumari wa mwisho kwenyeοΌnaniliu ya chama chakeοΌbaada ya hapo ndipo safari ya tumpeleke tumpeleke ianzeοΌ
Hii ya leo sii ya kukosaοΌ
UsikoseοΌ
Paskaliγ
Rejea za Polepoke
Kuna wengi wanamjua Polepole kijuu juu, mimi nimeisha muanzishia nyuzi tatu humu jf kumhusu
- Humprey Polepole: Kinachoendelea BMK is Not Right", Live on Ch.10
- Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!
- Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa?
View: https://youtu.be/SYJjy4zg7ssMsikilize hapa anavyoongea kama Mwalimu Nyerere
- Ushauri Balozi HP: Ukiongoka, Kujitenga na Uovu na Kusema Ukweli, Sema Ukweli Wote Sio Ukweli Nusu Nusu!. Jitenge Jumla Sio Mguu Ndani, Mguu Nje!
- GE2025 - Polepole: Shujaa, Mzalendo wa Kweli Kama Nyerere, Kang'atuka Kama Nyerere!, Amesema Ukweli Nusu!, Je Atoe Mguu Nje Aseme Ukweli Wote, Apewe Maua Yake?
- GE2025 - Alichokifanya Polepole, Kumbe Sio yeye!, Ni Ule Mwanga!, Sasa Anatakiwa Kusimama Pembeni Mazima na Sio Mguu Ndani, Mguu Nje!. YEYE ATATENDA!.
- GE2025 - Polepole ni muda wa kujitoa mwenyewe CCM kabla hujafukuzwa, utaheshimika zaidiοΌ
- Polepole, Ubalozi kwaheri. Huwezi kukata tawi la mti uliokalia. Shuka kwanza chini, simama kwa pembeni ndipo upige hilo shoka moja Mbuyu chini
- GE2025 - Ushauri wa Bure kwa Balozi Polepole, Usitatizwe na Wahuni!, Rais wa TZ 2025 Hawekwi na Wahuni, CCM au Watanzania, Anawekwa na YEYE Pekee!. Jinyamazie!
Kishoka wa Rostam mbona unatetea sana ?Hahahahaaha.
Hata El alikuwa mpango wa Mungu, Kuna siku tutasema hata Rostam ni mpango wa Mungu.
Kuna kipindi ilisemwa JK ni chaguo cha Mungu.
Ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
WanabodiοΌ
Saa hizi ni saa 12 οΌ00 asubuhiοΌ kumekucha na makucha yakeοΌ
Siku ya leoοΌ tarehe 21οΌleo ndio siku ya sikuοΌ imebatizwa jina la βThe Twenty First to rememberοΌβοΌ yaani ni βIshirini na moja ya kukumbukwaοΌβγ
Saa mbili kamili usikuοΌyule Mwamba Humphey Polepole anapanda live kupitia mitandao ya kijamii kushusha live nondo za kufa mtuοΌγ
Inasemekana leo Polepole anakuja na nyundo kukomelea msumari wa mwisho kwenyeοΌnaniliu ya chama chakeοΌbaada ya hapo ndipo safari ya tumpeleke tumpeleke ianzeοΌ
Hii ya leo sii ya kukosaοΌ
UsikoseοΌ
Paskaliγ
Rejea za Polepoke
Kuna wengi wanamjua Polepole kijuu juu, mimi nimeisha muanzishia nyuzi tatu humu jf kumhusu
- Humprey Polepole: Kinachoendelea BMK is Not Right", Live on Ch.10
- Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!
- Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa?
View: https://youtu.be/SYJjy4zg7ssMsikilize hapa anavyoongea kama Mwalimu Nyerere
- Ushauri Balozi HP: Ukiongoka, Kujitenga na Uovu na Kusema Ukweli, Sema Ukweli Wote Sio Ukweli Nusu Nusu!. Jitenge Jumla Sio Mguu Ndani, Mguu Nje!
- GE2025 - Polepole: Shujaa, Mzalendo wa Kweli Kama Nyerere, Kang'atuka Kama Nyerere!, Amesema Ukweli Nusu!, Je Atoe Mguu Nje Aseme Ukweli Wote, Apewe Maua Yake?
- GE2025 - Alichokifanya Polepole, Kumbe Sio yeye!, Ni Ule Mwanga!, Sasa Anatakiwa Kusimama Pembeni Mazima na Sio Mguu Ndani, Mguu Nje!. YEYE ATATENDA!.
- GE2025 - Polepole ni muda wa kujitoa mwenyewe CCM kabla hujafukuzwa, utaheshimika zaidiοΌ
- Polepole, Ubalozi kwaheri. Huwezi kukata tawi la mti uliokalia. Shuka kwanza chini, simama kwa pembeni ndipo upige hilo shoka moja Mbuyu chini
- GE2025 - Ushauri wa Bure kwa Balozi Polepole, Usitatizwe na Wahuni!, Rais wa TZ 2025 Hawekwi na Wahuni, CCM au Watanzania, Anawekwa na YEYE Pekee!. Jinyamazie!
πTatizo hata likisemwa lolote ni He Say / She Say........; Kama taifa hatuhitaji kusubiri mambo / ufisadi utokee ili baadae mtu aje kusema au mwingine kuandika kitabu kuomba msamaha kwamba alichofanya kilikuwa ndivyo sivyo....
Cha maana ni kuwepo na transparency kwa lolote linalohusu UMMA na Mali za UMMA ili ijulikane kabisa wakati yanafanyika kama yana Tija na Taifa....; Mfano Mikataba hii inayosainiwa willy nilly, (Sisi wanadau tunajua au tutafahamishwa wakati akija mwingine na kuvunja na kushitakiwa hivyo kulipa na fidia, ili mwingine akija awarudishie tuliowanyanganya)?
DuhNimemwambia wife Leo tuwe na wine, na tupo wa 2 tu, sasa alete habari za story
Njaa imemshika anataka uteuzivichaa ccm huwa hawajiuzuru/ hawaachii mirija. ni mpaka Akili zikiwajia
Ngoja Tusubiri tuone π³ !kila mtu ana ubaya kwa majira ya ubaya, na kila mtu ni mzuri kwa nyakati zake. Kwa sasa hivi Sauti za kina Gwajima na Polepole ni sauti za wananchi. Wako kinyume na wahuni watesi wa Taifa hili. hivyo waungwe mkono.
siku Rostam akiwa kinyume na alivyo sasa hivi tutamkubali. akiachana na genge la wapiga nchi na kuhamia kwa wananchi tutampokea. Kukosa kupo ndio maana kuna kutubu.
Japo wewe ni chawa mtiifu , ila leonngoja nikuunge mkonosurely?
Polepole ni mwamba?
mwamba unaojieleza kwa hofu tena ukiwa mafichoni?
si afadhali hata mpina na malisa undio wanaweza kua wamba MWALIMU paskali π
Kishoka wa Rostam mbona unatetea sana ?