Nyamshongoma
JF-Expert Member
- Sep 12, 2024
- 542
- 771
wahuni watazima mitandaoWanabodi,
Saa hizi ni saa 12 :00 asubuhi, kumekucha na makucha yake!
Siku ya leo, tarehe 21,leo ndio siku ya siku, imebatizwa jina la ”The Twenty First to remember!”, yaani ni ”Ishirini na moja ya kukumbukwa!”。
Saa mbili kamili usiku,yule Mwamba Humphey Polepole anapanda live kupitia mitandao ya kijamii kushusha live nondo za kufa mtu!。
Inasemekana leo Polepole anakuja na nyundo kukomelea msumari wa mwisho kwenye,naniliu ya chama chake,baada ya hapo ndipo safari ya tumpeleke tumpeleke ianze!
Hii ya leo sii ya kukosa!
Usikose!
Paskali。
Rejea za Polepoke
Kuna wengi wanamjua Polepole kijuu juu, mimi nimeisha muanzishia nyuzi tatu humu jf kumhusu
- Humprey Polepole: Kinachoendelea BMK is Not Right", Live on Ch.10
- Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!
- Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa?
View: https://youtu.be/SYJjy4zg7ssMsikilize hapa anavyoongea kama Mwalimu Nyerere
- Ushauri Balozi HP: Ukiongoka, Kujitenga na Uovu na Kusema Ukweli, Sema Ukweli Wote Sio Ukweli Nusu Nusu!. Jitenge Jumla Sio Mguu Ndani, Mguu Nje!
- GE2025 - Polepole: Shujaa, Mzalendo wa Kweli Kama Nyerere, Kang'atuka Kama Nyerere!, Amesema Ukweli Nusu!, Je Atoe Mguu Nje Aseme Ukweli Wote, Apewe Maua Yake?
- GE2025 - Alichokifanya Polepole, Kumbe Sio yeye!, Ni Ule Mwanga!, Sasa Anatakiwa Kusimama Pembeni Mazima na Sio Mguu Ndani, Mguu Nje!. YEYE ATATENDA!.
- GE2025 - Polepole ni muda wa kujitoa mwenyewe CCM kabla hujafukuzwa, utaheshimika zaidi!
- Polepole, Ubalozi kwaheri. Huwezi kukata tawi la mti uliokalia. Shuka kwanza chini, simama kwa pembeni ndipo upige hilo shoka moja Mbuyu chini
- GE2025 - Ushauri wa Bure kwa Balozi Polepole, Usitatizwe na Wahuni!, Rais wa TZ 2025 Hawekwi na Wahuni, CCM au Watanzania, Anawekwa na YEYE Pekee!. Jinyamazie!
Unajiliwaza sana..vp umeshikwa pabaya?HP alikuwa mtu mdogo sana kujua classified issues za ndani ya mifumo.
Kikubwa anachojua ni kilekile walio wengi wanakijua mitaani.
Hakufika level ya kuyajua yasiyotakiwa kujulikana, na kama angeyajua hayo sidhani kama angepata hata huo muda ya kuretard.
Wahusika wana akili nyingi kuliko zake, angakuwa ana madhara asingepata hata nafasi ya kwenda Cuba, wangeshamalizana naye, kutupiwa ndoano kwenye umri na uzoefu wake kwenye game ilikuwa rahisi sana.
ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
Kaka Pasko, je atasema mambo ya kuua chama ambacho yeye bado ni mwanachama? Kuna logic hapo? Au atatoka kwanza leo ktk chama ndio aanze kukiua? Vinginevyo ni muendelezo wa chuki na fitna za kisiasa, all in all tusubiri tusikie analo taka semaWanabodi,
Saa hizi ni saa 12 :00 asubuhi, kumekucha na makucha yake!
Siku ya leo, tarehe 21,leo ndio siku ya siku, imebatizwa jina la ”The Twenty First to remember!”, yaani ni ”Ishirini na moja ya kukumbukwa!”。
Saa mbili kamili usiku,yule Mwamba Humphey Polepole anapanda live kupitia mitandao ya kijamii kushusha live nondo za kufa mtu!。
Inasemekana leo Polepole anakuja na nyundo kukomelea msumari wa mwisho kwenye,naniliu ya chama chake,baada ya hapo ndipo safari ya tumpeleke tumpeleke ianze!
Hii ya leo sii ya kukosa!
Usikose!
Paskali。
Rejea za Polepoke
Kuna wengi wanamjua Polepole kijuu juu, mimi nimeisha muanzishia nyuzi tatu humu jf kumhusu
- Humprey Polepole: Kinachoendelea BMK is Not Right", Live on Ch.10
- Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!
- Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa?
View: https://youtu.be/SYJjy4zg7ssMsikilize hapa anavyoongea kama Mwalimu Nyerere
- Ushauri Balozi HP: Ukiongoka, Kujitenga na Uovu na Kusema Ukweli, Sema Ukweli Wote Sio Ukweli Nusu Nusu!. Jitenge Jumla Sio Mguu Ndani, Mguu Nje!
- GE2025 - Polepole: Shujaa, Mzalendo wa Kweli Kama Nyerere, Kang'atuka Kama Nyerere!, Amesema Ukweli Nusu!, Je Atoe Mguu Nje Aseme Ukweli Wote, Apewe Maua Yake?
- GE2025 - Alichokifanya Polepole, Kumbe Sio yeye!, Ni Ule Mwanga!, Sasa Anatakiwa Kusimama Pembeni Mazima na Sio Mguu Ndani, Mguu Nje!. YEYE ATATENDA!.
- GE2025 - Polepole ni muda wa kujitoa mwenyewe CCM kabla hujafukuzwa, utaheshimika zaidi!
- Polepole, Ubalozi kwaheri. Huwezi kukata tawi la mti uliokalia. Shuka kwanza chini, simama kwa pembeni ndipo upige hilo shoka moja Mbuyu chini
- GE2025 - Ushauri wa Bure kwa Balozi Polepole, Usitatizwe na Wahuni!, Rais wa TZ 2025 Hawekwi na Wahuni, CCM au Watanzania, Anawekwa na YEYE Pekee!. Jinyamazie!
Nana pesa za MAFISADI PAPA na wakwepa kodi zikachangwa kwa jina la harambee ya ccm hata raisi wenu alikuwepo. Amenunuliwa huku anakodoa macho. Ujinga mzigo🤣🤣 wajinga ndio waliwao🤣🤣
Wanabodi,

Nimetuliza akili nimegundua wajinga kama wewe ni hatari zaidi kuliko POLEPOLE ambae ameamua kubadilika kulingana na mahitaji ya wakati tuliopo sasaivi! Ila wajinga kama wewe ambao wanajikuta wasaidizi wa Mungu kutaka kuhukumu mambo yaliyopita ilihali hapa tulipo hatuko salama na yatupasa tuungane wewe unaleta porojo zako eti alifanya nini huko zamani mara akwambie kwanini? Ili iweje?akikwambia kua alikosea itakufaa nini wew au mimi sasaivi?CHAI MAHARAGE NA POLEPOLE 😃😃
NYAKATI ZILE HATA YEYE ALIKUWA UPANDE WA UOVU,MACHO YAKE HAYAKUONA YA KUWA KUNA WATU KWENYE VIROBA!(WAMETUPWA),SHORTLY SI MSAFI,ATUJUZE NANI ALIKUWA AKIFANYA YALE?/ KWA NINI ALIYAKALIYA KIMYA,
#UKITULIZA AKILI UTAGUNDUA WOTE MANTA NYAHIIII
Mami mlay ni kama mbwa mwenye majoto huwa anahangaika sana kutafuta mbwa wa kumpandaPolepole ni kama Mbwa mwenye kichaa huwa anahangaika sana kutafuta mtu wa kumuua
Records matter!,mkuu,huwezi kujiibukia tu huko utokako,unaropoka ropoka tu,kwa upumbavu tukakuamini KIJINGA,tunaangalia rekodi zako,je zipoje? je huyu mtu ni safi kweli, ngoja tuone faili zake,ndivyo dunia ilivyo!Nimetuliza akili nimegundua wajinga kama wewe ni hatari zaidi kuliko POLEPOLE ambae ameamua kubadilika kulingana na mahitaji ya wakati tuliopo sasaivi! Ila wajinga kama wewe ambao wanajikuta wasaidizi wa Mungu kutaka kuhukumu mambo yaliyopita ilihali hapa tulipo hatuko salama na yatupasa tuungane wewe unaleta porojo zako eti alifanya nini huko zamani mara akwambie kwanini? Ili iweje?akikwambia kua alikosea itakufaa nini wew au mimi sasaivi?
Chama tawala kilipaswa kuona hili na kukemea kwani ndicho chenye RAIS!Vyombo vya dola haviko chini ya chama. Viko chini ya serikali.
Mwenye dhamana ya kulinda wananchi na mali zao ni serikali na vyombo vya dola.
Uchafu wote unaoendelea kwa sasa ni serikali iliyo madarakani. Chama ni political vehicle tu ya kumpata Rais. Kwa katiba yetu mtu akiwa Rais anakuwa juu ya chama.
Na humfanyi kitu. Akikohoa tu wote mnaingia uvunguni. Akiagiza Crocodiletooth uchinjwe utachinjwa tu.
Mjinga nani Sasa...ccm ama mwanachama wa ccm...🤣🤣 wajinga ndio waliwao🤣🤣
Katibu mkuu mwenezi wa chama Kawa mfa maji ..duh ..you ccm have to deal with your fucking gad dem shit ..sort your own member shit out..hatuhofii vitisho vya mfamaji. Kazi na utu tunasonga mbele...