Wee kilaza wa Samia siyo "wamba" ni"MIAMBA"!surely?
Polepole ni mwamba?
mwamba unaojieleza kwa hofu tena ukiwa mafichoni?
si afadhali hata mpina na malisa undio wanaweza kua wamba MWALIMU paskali 🐒
Asante sana mkuuWindscribe kama unatuma android
Ngoja tuoneeWanabodi,
Saa hizi ni saa 12 :00 asubuhi, kumekucha na makucha yake!
Siku ya leo, tarehe 21,leo ndio siku ya siku, imebatizwa jina la ”The Twenty First to remember!”, yaani ni ”Ishirini na moja ya kukumbukwa!”。
Saa mbili kamili usiku,yule Mwamba Humphey Polepole anapanda live kupitia mitandao ya kijamii kushusha live nondo za kufa mtu!。
Inasemekana leo Polepole anakuja na nyundo kukomelea msumari wa mwisho kwenye,naniliu ya chama chake,baada ya hapo ndipo safari ya tumpeleke tumpeleke ianze!
My Take
Leo nahisi ndio siku Comred Polepole atatekeleza ule ushauri wangu, wa kumkataa shetani na mambo yake yote,atayakataa, atashuka kutoka katika hilo tawi la mti alilokalia,atasimama pembeni kwa miguu yake yote miwili ,akiwa mtu huru,sio mguu ndani mguu nje!,anajiweka pembeni, anakaa kando, akiwa mtu huru,kama ni kukata mti, anakata na mti unakwenda chini jumla, mazima!na sio ile ya kutaka kukata tawi la mti alilokalia!,leo anakuwa free! ndipo atwae shoka,with all his mighty powers,apige pigo moja kuu,pigo takatifu,apige shoka moja mbuyu chini!na baada ya hapo,atasema imekwisha!,atanyamaa kimya na kuiachia karma imalizie kazi!
Hii ya leo sii ya kukosa!
Usikose!
Paskali。
Rejea za Polepoke
Kuna wengi wanamjua Polepole kijuu juu, mimi nimeisha muanzishia nyuzi tatu humu jf kumhusu
- Humprey Polepole: Kinachoendelea BMK is Not Right", Live on Ch.10
- Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!
- Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa?
View: https://youtu.be/SYJjy4zg7ss?si=uqFefhMJWpSkVgRR msikilize hapa anavyoongea kama Mwalimu Nyerere!
- Ushauri Balozi HP: Ukiongoka, Kujitenga na Uovu na Kusema Ukweli, Sema Ukweli Wote Sio Ukweli Nusu Nusu!. Jitenge Jumla Sio Mguu Ndani, Mguu Nje!
- GE2025 - Polepole: Shujaa, Mzalendo wa Kweli Kama Nyerere, Kang'atuka Kama Nyerere!, Amesema Ukweli Nusu!, Je Atoe Mguu Nje Aseme Ukweli Wote, Apewe Maua Yake?
- GE2025 - Alichokifanya Polepole, Kumbe Sio yeye!, Ni Ule Mwanga!, Sasa Anatakiwa Kusimama Pembeni Mazima na Sio Mguu Ndani, Mguu Nje!. YEYE ATATENDA!.
- GE2025 - Polepole ni muda wa kujitoa mwenyewe CCM kabla hujafukuzwa, utaheshimika zaidi!
- Polepole, Ubalozi kwaheri. Huwezi kukata tawi la mti uliokalia. Shuka kwanza chini, simama kwa pembeni ndipo upige hilo shoka moja Mbuyu chini
- GE2025 - Ushauri wa Bure kwa Balozi Polepole, Usitatizwe na Wahuni!, Rais wa TZ 2025 Hawekwi na Wahuni, CCM au Watanzania, Anawekwa na YEYE Pekee!. Jinyamazie!
Sijawahi kuwa na fake ID in my life,na siku zote mimi ni mkweli daima,kama its only the truths ndio itaokoa taifa,tell the truth,and the truth will set you free hata kama ni kwa ku pay the price kuonekana an enemy of the people!,naamini one day watamshukuru,by that time the nation will have been saved!NO UTAONEKANA AN ENEMY OF WATAWALA. TAKE CARE.................... tafuta fake Id uitumie kwenye issues kama hizi.
I am afraid somebody to be a dead hero!Sijawahi kuwa na fake ID in my life,na siku zote mimi ni mkweli daima,kama its only the truths ndio itaokoa taifa,tell the truth,and the truth will set you free hata kama ni kwa ku pay the price kuonekana an enemy of the people!,naamini one day watamshukuru,by that time the nation will have been saved!
P
Mkuu hebu tusaidie wengine uelewa tunatofautiana!Huyu slow slow alikuwepo Enzi za utawala wa mwendazake,Na hii awamu alikula kiapo Cha utii ,akaenda Cuba,Tutamuamini vipi ndani ya mfumo huo huo?!!Usije ukawa kama Daudi wa kwenye Biblia,alipokosana na mfalme Sauli akajiunga na wafilisti huku roho yake Iko kwa waisrael,Akiulizwa na mfalme wa wafilisti vitani,anadai kasaidia wafilisti kupiga hadi Yuda!Tupe madini.Wanabodi,
Saa hizi ni saa 12 :00 asubuhi, kumekucha na makucha yake!
Siku ya leo, tarehe 21,leo ndio siku ya siku, imebatizwa jina la ”The Twenty First to remember!”, yaani ni ”Ishirini na moja ya kukumbukwa!”。
Saa mbili kamili usiku,yule Mwamba Humphey Polepole anapanda live kupitia mitandao ya kijamii kushusha live nondo za kufa mtu!。
Inasemekana leo Polepole anakuja na nyundo kukomelea msumari wa mwisho kwenye,naniliu ya chama chake,baada ya hapo ndipo safari ya tumpeleke tumpeleke ianze!
My Take
Leo nahisi ndio siku Comred Polepole atatekeleza ule ushauri wangu, wa kumkataa shetani na mambo yake yote,atayakataa, atashuka kutoka katika hilo tawi la mti alilokalia,atasimama pembeni kwa miguu yake yote miwili ,akiwa mtu huru,sio mguu ndani mguu nje!,anajiweka pembeni, anakaa kando, akiwa mtu huru,kama ni kukata mti, anakata na mti unakwenda chini jumla, mazima!na sio ile ya kutaka kukata tawi la mti alilokalia!,leo anakuwa free! ndipo atwae shoka,with all his mighty powers,apige pigo moja kuu,pigo takatifu,apige shoka moja mbuyu chini!na baada ya hapo,atasema imekwisha!,atanyamaa kimya na kuiachia karma imalizie kazi!
Hii ya leo sii ya kukosa!
Usikose!
Paskali。
Rejea za Polepoke
Kuna wengi wanamjua Polepole kijuu juu, mimi nimeisha muanzishia nyuzi tatu humu jf kumhusu
- Humprey Polepole: Kinachoendelea BMK is Not Right", Live on Ch.10
- Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!
- Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa?
View: https://youtu.be/SYJjy4zg7ss?si=uqFefhMJWpSkVgRR msikilize hapa anavyoongea kama Mwalimu Nyerere!
- Ushauri Balozi HP: Ukiongoka, Kujitenga na Uovu na Kusema Ukweli, Sema Ukweli Wote Sio Ukweli Nusu Nusu!. Jitenge Jumla Sio Mguu Ndani, Mguu Nje!
- GE2025 - Polepole: Shujaa, Mzalendo wa Kweli Kama Nyerere, Kang'atuka Kama Nyerere!, Amesema Ukweli Nusu!, Je Atoe Mguu Nje Aseme Ukweli Wote, Apewe Maua Yake?
- GE2025 - Alichokifanya Polepole, Kumbe Sio yeye!, Ni Ule Mwanga!, Sasa Anatakiwa Kusimama Pembeni Mazima na Sio Mguu Ndani, Mguu Nje!. YEYE ATATENDA!.
- GE2025 - Polepole ni muda wa kujitoa mwenyewe CCM kabla hujafukuzwa, utaheshimika zaidi!
- Polepole, Ubalozi kwaheri. Huwezi kukata tawi la mti uliokalia. Shuka kwanza chini, simama kwa pembeni ndipo upige hilo shoka moja Mbuyu chini
- GE2025 - Ushauri wa Bure kwa Balozi Polepole, Usitatizwe na Wahuni!, Rais wa TZ 2025 Hawekwi na Wahuni, CCM au Watanzania, Anawekwa na YEYE Pekee!. Jinyamazie!
Ipi nzuri jmnKama huna vpn jiandae kuteseka kutumia mtandao
Hebu kanyoe kwapa na Wewe!surely?
Polepole ni mwamba?
mwamba unaojieleza kwa hofu tena ukiwa mafichoni?
si afadhali hata mpina na malisa undio wanaweza kua wamba MWALIMU paskali 🐒
Instagram, TikTok ndo mpangomkata switch atak7wa attention 😄
ova
Anahama chama!Akishasema kinachofuata?
Jana ulimsikiliza, wengine jana ndo tumejua RA ndo aliikwapua ch10...Anatupa Kimuhemuhe Halafu,hatufikishi Kileleni Ndio Shida Yake Kubwa.
Ngoja Tuone Leo,maana Tangu Aanze Bado Hajagusa Pale Penye Kiini.
Wasije kusema umeshiriki ku tangazo habari zitakazoleta taharuki.Siku ya leo, tarehe 21,leo ndio siku ya siku, imebatizwa jina la ”The Twenty First to remember!”, yaani ni ”Ishirini na moja ya kukumbukwa!”。
Saa mbili kamili usiku,yule Mwamba Humphey Polepole anapanda live kupitia mitandao ya kijamii kushusha live nondo za kufa mtu!。
Inasemekana leo Polepole anakuja na nyundo kukomelea msumari wa mwisho kwenye,naniliu ya chama chake,baada ya hapo ndipo safari ya tumpeleke tumpeleke ianze!
Maybe,ajitahidi Leo Amguse 100Jana ulimsikiliza, wengine jana ndo tumejua RA ndo aliikwapua ch10...
Ndo tumejua ni ya chama ....
Ndo tumejua ndie mfadhili mkuu wa wanamtandao....
Ndo tumejua kuwa anahusika moja kwa moja na biashara ya makaa ya mawe....
Ya Leo atamalizia hopefully
Asante kwa clip, Mjumbe. Mimi binafsi, Hanichoshi kusikiliza, mpaka sasa!...msikilize hapa anavyoongea...
Kinyesi wewe.Polepole=dead body
Pamoja na kukupa like, je wewe ni Press Secretary wa Comrade Polepole?Wanabodi,
Saa hizi ni saa 12 :00 asubuhi, kumekucha na makucha yake!
Siku ya leo, tarehe 21,leo ndio siku ya siku, imebatizwa jina la ”The Twenty First to remember!”, yaani ni ”Ishirini na moja ya kukumbukwa!”。
Saa mbili kamili usiku,yule Mwamba Humphey Polepole anapanda live kupitia mitandao ya kijamii kushusha live nondo za kufa mtu!。
Inasemekana leo Polepole anakuja na nyundo kukomelea msumari wa mwisho kwenye,naniliu ya chama chake,baada ya hapo ndipo safari ya tumpeleke tumpeleke ianze!
My Take
Leo nahisi ndio siku Comred Polepole atatekeleza ule ushauri wangu,GE2025 - Polepole ni muda wa kujitoa mwenyewe CCM kabla hujafukuzwa, utaheshimika zaidi! wa kumkataa shetani na mambo yake yote,atayakataa, atashuka kutoka katika hilo tawi la mti alilokalia,atasimama pembeni kwa miguu yake yote miwili ,akiwa mtu huru,sio mguu ndani mguu nje!,anajiweka pembeni, anakaa kando, akiwa mtu huru,kama ni kukata mti, anakata na mti unakwenda chini jumla, mazima!na sio ile ya kutaka kukata tawi la mti alilokalia!,leo anakuwa free! ndipo atwae shoka,with all his mighty powers,apige pigo moja kuu,pigo takatifu,apige shoka moja mbuyu chini!na baada ya hapo,atasema imekwisha!,atanyamaa kimya na kuiachia karma imalizie kazi!