Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Vipi Ile tume ya kisirisiri ya kuchunguza vifo vya viongozi ishaundwa?Naona mnajitekenya na kujichekesha wenyewe kama Mazuzu
Vipi Ile tume ya kisirisiri ya kuchunguza vifo vya viongozi ishaundwa?Naona mnajitekenya na kujichekesha wenyewe kama Mazuzu
Kaa kwa kutulia Dogo endelea kula Maparachichi .Vipi Ile tume ya kisirisiri ya kuchunguza vifo vya viongozi ishaundwa?
Usipoteze nguvu zako kubishana na wapuuzi..! Wapo kwa ajili ya mipasho na upumbavu mwingine na si kwa ajili ya kujenga hoja zenye tija kwa taifaHivi ukizingatia idadi ya watu (population size) wabara nao wakiamua kuwabagua nyie wa Pwani mnaweza kutoboa popote?
Lazima uvunjike mbavu mkuu.😁😀😂😃😅
pwagu na pwaguzi mnapotoshana na kudanganyanya kindezi sana aise dahLazima uvunjike mbavu mkuu.
Manake hilo Tlaatlaah ni robot au, simply, bot la watawala linaloshtuliwa (triggered automatically) na kila comment au bandiko linalokosoa watawala vibaya.
Liko ndani ya JF 24/7. Vibwagizo vyake muhimu ni “gentleman”, “useless”, “nonsense” na “dah”. Naamini linaendelea kupitia dikshenari kuongeza vimbwanga 😅😅😅

Asante nimesikiliza vema. A very good establishment. Well done Twaha
Si unaona kuikumbatia CCM Tanga ilivyorudi nyuma kimaendeleo. Baada ya Uhuru Tanga ndiyo ulikuwa mji mkubwa wa pili baada ya Dar es Salaam leo hii mko wapi njoo Mwanza uone jiji lilivyokuwa Tanga inaingia mara nne, sehemu zote ambazo wameikumbatia CCM maendeleo ni duni, mumekalia ushirikina tu.Fala wewe sisi hatufungamani na CHADEMA ,sisi sio watumwa kama huyo Mshana mwenye shobo chama cha watu wa bara..Hakuna chama cha bara kinatamba huku
KILA UBAYA utalipwaTokeni tena mchome miundombinu muibe tena,mtauawa tena kwa kukusudia
Ile Wizara Ya HTUM(Habari, Teknojia, Utamaduni Na Michezo )Lazima uvunjike mbavu mkuu.
Manake hilo Tlaatlaah ni robot au, simply, bot la watawala linaloshtuliwa (triggered automatically) na kila comment au bandiko linalokosoa watawala vibaya.
Liko ndani ya JF 24/7. Vibwagizo vyake muhimu ni “gentleman”, “useless”, “nonsense” na “dah”. Naamini linaendelea kupitia dikshenari kuongeza vimbwanga 😅😅😅
Huo ni mwanzo tu
DaaahSi unaona kuikumbatia CCM Tanga ilivyorudi nyuma kimaendeleo. Baada ya Uhuru Tanga ndiyo ulikuwa mji mkubwa wa pili baada ya Dar es Salaam leo hii mko wapi njoo Mwanza uone jiji lilivyokuwa Tanga inaingia mara nne, sehemu zote ambazo wameikumbatia CCM maendeleo ni duni, mumekalia ushirikina tu.