Leo ni siku maalum ya maombi ya kumbukumbu ya mauaji ya kukusudia Oktoba 29, 2025

Attachments

  • IMG_20251118_141855.jpg
    IMG_20251118_141855.jpg
    95.4 KB · Views: 17
Kwanini Chadema mnapenda kucapitalize matukio yote kuwa ya kwenu na niya kisiasa.

Sasa jambo limetokea Oktoba 29 maadhimisho mnafanya March 29.

Anyways nitatoa Pole zangu oktoba 29 hii naona mmeifanya ya kichadema zaidi.
 
Tunakushukuru kwa kuja
 
Si unaona kuikumbatia CCM Tanga ilivyorudi nyuma kimaendeleo. Baada ya Uhuru Tanga ndiyo ulikuwa mji mkubwa wa pili baada ya Dar es Salaam leo hii mko wapi njoo Mwanza uone jiji lilivyokuwa Tanga inaingia mara nne, sehemu zote ambazo wameikumbatia CCM maendeleo ni duni, mumekalia ushirikina tu.
Hakuna kitu kinaitwa maendele zaidi ya kujilingajisha na wengine ,kitu ambacho ni tabia za kike...Kwa hiyo kuna mtu anakuja kula kwa mama yako . Maendeleo yetu yako juuu milele hatupendi kujifananisha na mtu.

Mwanza kuna nn cha ajabu zaidi ya harufu na dagaa na washamba kibao ,mkoa una maskini kama wote ..Mnashangaa nn hapo mwanza cha maana nipe hata kimoja 😅😅
 
Mtaji wa CCM ni ujinga na umasikini kama ulivyo wewe mkirushiwa kanga na Tshirt za kijani mnaona maisha ndiyo hayo.
 
Lukuvi alisifu bungeni namna mama alivyosimamia uchaguzi wa Amani octoba 29 hata mwezi 6 halijaisha yuko wapi?
Kwa hiyo wanaokufa nchi hii tangu 1 November ni waliounga mkono wahalifu kubondwa!?.. tumia kichwa vizuri
 
Mtaji wa CCM ni ujinga na umasikini kama ulivyo wewe mkirushiwa kanga na Tshirt za kijani mnaona maisha ndiyo hayo.
Maskini ni wewe unayataka maendeleo ,mimi nilishaendelea kitambo m.Jipambanie kivyako😅😅😅...Ujinga ni pale unataka kuwalazimisha watu wafuate mfumo wenu ,wachukue wazazi na ndugu zako wafuate...
 
Inahitaji akili ya maiti kuiunga mkono CCM.
 
Tayari huko diwani vitu maalum amelamba mchanga leo
 
Attachments

  • 1774971472210.jpg
    1774971472210.jpg
    56.3 KB · Views: 18
Naona mnajitekenya na kujichekesha wenyewe kama Mazuzu
Wapumbavu tu hao, Samia anawabonyeza kizenji Hadi wanatokwa na akili. Ila hii mbinu anayoitumia mama Samia ya kudeal passively na haters wake inanifurahisha sana. Yaani kina namna amefanya kiasi kwamba haters wanajikuta wanakasirika wenyewe tu🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom