Leo ni siku ya aibu sana kwa Utawala wa Hayati Magufuli baada ya Sabaya kukiri alikuwa akitumwa kutekeleza uovu

Hakika yule Mhutu alikuwa mwovu sana,kuni ziendelee kuchochewa

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Wasukuma Gang hii ndio uharo wao. Shetani Magufuli alikua mchawi jambazi na mwizi mkubwa. Huko alipo afe tena aliwe na funza. Masukuma jinga sana.
Doh Mkuu hebu kunywa maji ushushe hiyo hasira
 
Huyu hata kama wananchi sasa wakiamua kuchukua sheria mkononi na kumtwanga mawe ni sawa tuu maana majambazi wengine mtaani wanamalizana nao tuu kisha serikali inatangaza wananchi wenye hasira kali wanetekeleza.

Najua kwa sasa ni hasira tu za hukumu ilivyotolewa wengi wetu hatukutegemea.Lakini hapo nilipoku quote si rahisi kiasi hicho,otherwise wangeanza na Makonda kama ingekuwa rahisi.Sabaya ataendelea kudunda mtaani na pengine unaweza ukashangazwa zaidi atakaposafishwa na akapata na uteuzi kabisa.CCM wanajuana wenyewe.
 
Naona mna hasira sana mbakaji wenu yuko kitaa!
Kwa taarifa yako huyo kukaa ndani ilikuwa ni maigizo tu, anatakiwa aje huku mtaani ili ajue kuwa alikuwa mchumba tu.
 
Usihuzunike sana, Wala usifadhaike, kwani hayo yalisha pita. Lakini yanatuachia fundisho, kwa hiyo la msingi ni kujifunza, Ili yasijirudie tena! Never again!
 
Hivi ukikiri kosa una samehewa
 
Kafungwa kifungo cha nje(suspended sentence) cha mwaka mmoja na faini(fidia) ya milioni tano.
Hii ni tofauti na kuachiwa huru kwani criminal records kuanzia sasa zitakuwa sehemu ya maisha yake plus hawezi kukata rufaa kwani amekiri makosa mwenyewe.
Huyu kijana kapitia magumu sana kwa miaka miwili, atulie sasa ajenge maisha yake.
 
Utawala wa Magufuli
Ni huu

Makamu wa Raisi Samia Suluhu Hasani

Philip Isdori Mpango

Na wote walipo serikali hii

Hivyo ni aibu kwa serikali yote na CHAMA CHETUU CCM

NA LEO TENA LIPO DOSI NYINGINE TUMEPIGWA NA

LAIGWANINI SENDEKAA HUKOO WAGOGO
 
Uhalifu unaofanywa na awamu ya sita ni mbaya zaidi kuliko kipindi cha sabaya maana kwa sasa wtz wengi wanakufa kwa njaa inayotokana na kupandisha bei ya vyakula hovyohovyo akisaidiwa ba chawa wake
Kalime wewe uje utuuzie kilo ya mchele 1000, nyoko we
 
Sabaya ametolewa ili afe. Hawezi ishi kwa dhambi alizofanya waziwazi kwa jeuri ya magufuri.

Hata magufuri alikufa kwa sababu ya dhambi ya mauwaji na kuonea watu
 
Wasukuma Gang hii ndio uharo wao. Shetani Magufuli alikua mchawi jambazi na mwizi mkubwa. Huko alipo afe tena aliwe na funza. Masukuma jinga sana.
Kule kuzimu magufuri anashindia kifiro TU. Wanamla tigo mpaka katenguliwa nyonga anachrchemea. Wenzie wanamkandamiza nao sana
 
Leo utawala wa Magu upo Hadi iwe Aibu?

Yaani utembee uchi wewe, AIBU waone wafu?

Bwege;Uliona wapi?
 
Uliona wapi JINAI Ina maridhiano?

Waliomwachia ndo wanajiaibisha kuridhiana kwenye JINAI.
 
Sabaya alikua anatumwa na Magu FULL full stop
 

Kuna mtu alishindwa kesi kwa kumtaja mfu kuwa ndiye alikuwa chanzo?

Mkuu Pascal Mayalla sheria zinasemaje kuhusu hili. Rejea kesi ya mama'ke Taji Liundi.
 
Sabaya amesema alikua anatumwa na magu FULL Kwa hyo we mpwayungu unataka kusemaje labda. Hoja inapingwa Kwa hoja! Hutaki nenda kampige sabaya! Nyie si ndo mlikua wafuasi wa sabaya.

LEO HUYOHUYO SABAYA WENU AMEWAPIGA KWENYE MSHONO
 
Whoever is trying to bring you down is already below 👇 you !! Nimeipenda hii saying of the wise !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…