Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Ile nyingine ndio ilikua balaa[emoji23][emoji23]Bora kuzijibu tu![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unajibu ukimaliza hufuti unampa shem ale ubuyu wooooote[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eeh katoa kauli nzito halafu kapotea,ngoja shemeji tutajua tu alimaanisha Nini[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio maana nampenda sana jembe langu,,,anajitambua sana!!;na Bora hasomi maana ye kifua Hana akifika hapa jukwaani hashindwi kuchomoa betri 🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23] Yeye anasoma za wanaume tyuuu!!
Za kwetu hataki anasema nyie wambea mnajazana uongo
Ndio nataka nijue hapa kuna nn maana kama ww upo included basi huyu glenn anazingua sana.Me nina siri? Piem yangu unaingia na kutoka km ubungo to kimara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si unasomaga chat zote wewe au unajishaua hapa?? Na nyingine unafoka kwann watu wanatuma namba na picha zao!!
Ukweli za wadada hapana haiwezekani kabisa, nitakua wa ajabu sanaUnajibu ukimaliza hufuti unampa shem ale ubuyu wooooote[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mhhh hapana,muache apumzike,hajapenda.Emu muite hapa kanifokea balaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Utasema me ndo maua
Ile nyingine ndio ilikua balaa[emoji23][emoji23]
Nilikua nacheka tu mambo mengi, wanaojifanya wajanja nilikua nawaangalia tu wanavyojimaliza[emoji23]
Safi sana shemeji!live longUkweli za wadada hapana haiwezekani kabisa, nitakua wa ajabu sana
Hivi hamna screenshot zozote za Mama mchungaji HS ?[emoji23][emoji23][emoji23] Yeye anasoma za wanaume tyuuu!!
Za kwetu hataki anasema nyie wambea mnajazana uongo
Hamna kitu,amekasirika tu....hakuna kibaya kati yaoNdio nataka nijue hapa kuna nn maana kama ww upo included basi huyu glenn anazingua sana.
Labda kakosea kuandika alichoandika
Ndio maana nampenda sana jembe langu,,,anajitambua sana!!;na Bora hasomi maana ye kifua Hana akifika hapa jukwaani hashindwi kuchomoa betri [emoji1787][emoji1787]
Unauza CD🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zile hajawahi hata kugusa
Nampa za watu anaowatilia mashaka, afu anasikitika sana wengine hakuwategemea
Kuna vitu haipaswi kabisa kugusa hata uwe na Uhuru kiasi gani bado kuna maisha flani binafsi sana ya mtu.Safi sana shemeji!live long
Nakihitaji sana nataka nimchukulie mzee wangu mmoja kama zawadi.Ntamuagiza mtu.Shukrani sana.Kanisani Mbezi Luis Moravian Mkuu..
Unahitaji na wewe?
20k tu.
Dah,kama unaelewa Hilo nyie mtaishi sana watu wangu wa nguvu❤️Kuna vitu haipaswi kabisa kugusa hata uwe na Uhuru kiasi gani bado kuna maisha flani binafsi sana ya mtu.
HS maana yake nn?Hivi hamna screenshot zozote za Mama mchungaji HS ?
Kuhusu ile stori yake kwamba jamaa mwenyewe ndio alikuwa anavumisha habari ..
Kama mnazo,chonde tusaidieni.
Ndio nataka nijue hapa kuna nn maana kama ww upo included basi huyu glenn anazingua sana.
Labda kakosea kuandika alichoandika
Samahani Kwa kuingilia maongezi ya mwanakondoo ameshinda!tuamfuate!...wewe ni me ?Nakihitaji sana nataka nimchukulie mzee wangu mmoja kama zawadi.Ntamuagiza mtu.Shukrani sana.
Yes naamini hayupo kabisa hivyo huwa ni mpole na mstaarabu, hanaga maneno mengiHamna kitu,amekasirika tu....hakuna kibaya kati yao