Leo ni siku ya kuvumiliana duniani. Ni member gani humu umemvumilia vya kutosha sasa basi?

Leo ni siku ya kuvumiliana duniani. Ni member gani humu umemvumilia vya kutosha sasa basi?

Bora kuzijibu tu![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ile nyingine ndio ilikua balaa[emoji23][emoji23]

Nilikua nacheka tu mambo mengi, wanaojifanya wajanja nilikua nawaangalia tu wanavyojimaliza[emoji23]
 
Eeh katoa kauli nzito halafu kapotea,ngoja shemeji tutajua tu alimaanisha Nini[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Emu muite hapa kanifokea balaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Utasema me ndo maua
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Yeye anasoma za wanaume tyuuu!!
Za kwetu hataki anasema nyie wambea mnajazana uongo
Ndio maana nampenda sana jembe langu,,,anajitambua sana!!;na Bora hasomi maana ye kifua Hana akifika hapa jukwaani hashindwi kuchomoa betri 🤣🤣
 
Me nina siri? Piem yangu unaingia na kutoka km ubungo to kimara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Si unasomaga chat zote wewe au unajishaua hapa?? Na nyingine unafoka kwann watu wanatuma namba na picha zao!!
Ndio nataka nijue hapa kuna nn maana kama ww upo included basi huyu glenn anazingua sana.

Labda kakosea kuandika alichoandika
 
Ile nyingine ndio ilikua balaa[emoji23][emoji23]

Nilikua nacheka tu mambo mengi, wanaojifanya wajanja nilikua nawaangalia tu wanavyojimaliza[emoji23]

Id yangu inaniuma usinikumbushe machungu [emoji24][emoji24][emoji24]
Ila uzuri mipdf yote nilicopy pembeni na mi screenshot ya kumwaga.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Yeye anasoma za wanaume tyuuu!!
Za kwetu hataki anasema nyie wambea mnajazana uongo
Hivi hamna screenshot zozote za Mama mchungaji HS ?
Kuhusu ile stori yake kwamba jamaa mwenyewe ndio alikuwa anavumisha habari ..

Kama mnazo,chonde tusaidieni.
 
Ndio maana nampenda sana jembe langu,,,anajitambua sana!!;na Bora hasomi maana ye kifua Hana akifika hapa jukwaani hashindwi kuchomoa betri [emoji1787][emoji1787]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zile hajawahi hata kugusa
Nampa za watu anaowatilia mashaka, afu anasikitika sana wengine hakuwategemea
 
Back
Top Bottom