Leo ni siku ya kuvumiliana duniani. Ni member gani humu umemvumilia vya kutosha sasa basi?

Leo ni siku ya kuvumiliana duniani. Ni member gani humu umemvumilia vya kutosha sasa basi?

Ni mwanamama tutamchukulia na kitenge.Asante sana kwa ushauri .Akipiga zake 'Uhuru wa Yesu?' huku katinga mwanakondoo itakuwa unyama sana.Na mimi ntaonekana mtu wa maana.
🤣🤣🤣🤣🤣Nenda kanisa lolote la Moravian utavikuta vitenge vyeupeee acha janjajanja humu
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Achilieni mioyo kwanza
Jisameheni kisha samehe na wale wote waliokukwaza.
Ukishapata amani ya moyo, utaona vile Mungu anaenda kumuumbua adui yako.
Kuna nguvu kubwa ndani ya MSAMAHA
Ww wote umesamehe? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nataka mi kuvunjwa miguu na kutenguliwa kiuno kwa mitama?? Mtu mwenyewe kashatumia sana mjani wa Bob huko chugga hana hata anachoogopa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣Huyu ndio kiboko yako.
 
Ni mwanamama tutamchukulia na kitenge.Asante sana kwa ushauri .Akipiga zake 'Uhuru wa Yesu?' huku katinga mwanakondoo itakuwa unyama sana.Na mimi ntaonekana mtu wa maana.
Mwanakondoo unyama ni mwingi zaidi vile vitenge.

Kwa huku sijui kama wanavyo,,,
Mimi vyangu nilitoka navyo Mbeya.
 
🤣🤣🤣🤣🤣Nenda kanisa lolote la Moravian utavikuta vitenge vyeupeee acha janjajanja humu
Sikujua mi na mwaka sijui wa 10 sijaenda kanisani .Ntaulizia huko nyumbani kwetu kama vitakuwepo.Na wewe unasali Moravian?
 
Sikujua mi na mwaka sijui wa 10 sijaenda kanisani .Ntaulizia huko nyumbani kwetu kama vitakuwepo.Na wewe unasali Moravian?
Nenda kanisani aisee! hapana mi nasali Anglican sema niliwaona kwenye kongamano Moja la wanawake wakikristo nilivipenda sana nikaambiwa vipi kwenye makanisa Yao yote vinauzwa
 
  • Thanks
Reactions: EEX
Namuogopa kuna siku alinifinya sina hamu😂😂😂
Ndiomana nakaa kwa kutulia, mwili wangu wa mapenzi sio wa kudundwa
Ni vizuri kuwa na mtu unayemuheshimu!kifupi anakumudu😅😅
 
Back
Top Bottom