Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Basi kaka Yako keshaweka sawa kumbukumbu...
[emoji120] Amani na iwe juu yetu
Shetani kashindwa, alitaka kusambaratisha familia dk sifuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi kaka Yako keshaweka sawa kumbukumbu...
Ww dogo kila siku nakuambia, komaa na kilimo huko. Sasa ww umvumilie Raisi kweli? Sabaya tu a mere DC kawatoa jashotumepotea njia ! ila Namvumilia tu Samia
🤣🤣🤣🤣🤣Nenda kanisa lolote la Moravian utavikuta vitenge vyeupeee acha janjajanja humuNi mwanamama tutamchukulia na kitenge.Asante sana kwa ushauri .Akipiga zake 'Uhuru wa Yesu?' huku katinga mwanakondoo itakuwa unyama sana.Na mimi ntaonekana mtu wa maana.
Ww wote umesamehe? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Achilieni mioyo kwanza
Jisameheni kisha samehe na wale wote waliokukwaza.
Ukishapata amani ya moyo, utaona vile Mungu anaenda kumuumbua adui yako.
Kuna nguvu kubwa ndani ya MSAMAHA
Sio rahisi!uzuri PM zinasomeka[emoji120] Amani na iwe juu yetu
Shetani kashindwa, alitaka kusambaratisha familia dk sifuri
🤣🤣🤣Huyu ndio kiboko yako.Nataka mi kuvunjwa miguu na kutenguliwa kiuno kwa mitama?? Mtu mwenyewe kashatumia sana mjani wa Bob huko chugga hana hata anachoogopa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanakondoo unyama ni mwingi zaidi vile vitenge.Ni mwanamama tutamchukulia na kitenge.Asante sana kwa ushauri .Akipiga zake 'Uhuru wa Yesu?' huku katinga mwanakondoo itakuwa unyama sana.Na mimi ntaonekana mtu wa maana.
Sikujua mi na mwaka sijui wa 10 sijaenda kanisani .Ntaulizia huko nyumbani kwetu kama vitakuwepo.Na wewe unasali Moravian?🤣🤣🤣🤣🤣Nenda kanisa lolote la Moravian utavikuta vitenge vyeupeee acha janjajanja humu
Namuogopa kuna siku alinifinya sina hamu😂😂😂🤣🤣🤣Huyu ndio kiboko yako.
NInakuheshimu futa hizo quote msichochee mgogoroHiiv unique leo kaenda wapi jamani[emoji23]
Unique Flower njoo dada njooo uendelee kutiririka.
Nenda kanisani aisee! hapana mi nasali Anglican sema niliwaona kwenye kongamano Moja la wanawake wakikristo nilivipenda sana nikaambiwa vipi kwenye makanisa Yao yote vinauzwaSikujua mi na mwaka sijui wa 10 sijaenda kanisani .Ntaulizia huko nyumbani kwetu kama vitakuwepo.Na wewe unasali Moravian?
Kwani Kuna mgogoro?NInakuheshimu futa hizo quote msichochee mgogoro
Pm siku zote zinaamua ugomvi ndiomana sifuti nascreenshot kutunza kumbukumbu 😂😂😂Sio rahisi!uzuri PM zinasomeka
Anajibu tu[emoji23][emoji23][emoji23]Eeeh usiamshe aliyelala shemeji [emoji1787]
Anachofanya sio poaEeeh usiamshe aliyelala shemeji 🤣
Ni vizuri kuwa na mtu unayemuheshimu!kifupi anakumudu😅😅Namuogopa kuna siku alinifinya sina hamu😂😂😂
Ndiomana nakaa kwa kutulia, mwili wangu wa mapenzi sio wa kudundwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan tatizo na huyu dada limeanzia wapi?Countrywide mkuu futa hizo mention, najijua sina uvumilivu na ujinga, utanichochea nifanye kitu kibaya nisichokipenda
Kazingua....mi niliona tangu mchana nikapotezea maana naelewa mliposhindwania🤦🤦🤦Anachofanya sio poa