Leo ni Siku ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W.)

Ile sifa yake ya kuwa millitary leader sijaiona hapo juu.
 
Acheni uongo nyie makhurafi siku alozaliwa haijulikani kitarehe ila siku alokufa ndo inojulikana kitarehe kwaio nyinyi mnasherekea kifo cha mtume na wala si kuzaliwa kwake
Makhurafi ndo manini hayo kaka??
 
Katika uislamu hakuna sikukuu inayoitwa maulid.
Ni uzushi/ bidaa iliyoanzishwa na makafiri wa madhehebu ya kishia miaka ya nyuma waliokuwa wakiitawala nchi ya Misri.
Washia ni makafiri?? Nipe elimu kidogo mzee...
 
Wewe si uleletewa tu hivyo dini na wazungu! Unajikuta mjuaji kuliko papa mwenyewe ambae ndie raisi wenu
 
Wayahudi ni wahindi au wachina? Mbona wao wanampinga yesu?
 

Attachments

  • Screenshot_20240915_203141_Samsung Internet.jpg
    27.4 KB · Views: 1
Mbona baadhi ya misikiti hawajafanya swala?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…