Leo ni Siku ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W.)

Hayo ni mawazo yako? ya mwamposi? au ya bibulia
Mbinguni Kuna kula matunda pia, mtu wa Uzima na matunda yake upo Mbinguni,

Bustani ya edeni IPO Mbinguni pia. Sasa wewe mbona ngumu kuelewa?
 
Hiyo si shida sheikh na nina imani hutotaka kunikomoa. Nipatie mahari. Hatuwezi shindwana. Na hapo nitarudi kwenye Uislamu maana kwa kweli utakuwa umekonga sana moyo wangu. Kwa sasa Mimi ni KAFIR sina Dini.

Kwani uislam ni dini?
 
Wabishi na viburi hawaingii Mbinguni, Kwa wabishi ni kuzimu, na shetani pia hapendi kubishiwa, utatinduliwa ipasavyo.

Njoo Kwa Yesu Kuna Uzima.
Kwahiyo huko utasifu hadi utakoma ya ni 24/7 huo ukatili haukubaliki
 
Mbinguni Kuna kula matunda pia, mtu wa Uzima na matunda yake upo Mbinguni,

Bustani ya edeni IPO Mbinguni pia. Sasa wewe mbona ngumu kuelewa?

Kafanye utafiti wako vizuri ili uelewe, bustan ya Eden ilikuwa wapi? Pia watu wema wataishi katika paradise ambayo itakuwa wapi?
 
Umepanic mkuu. Mipasho miingi kisa swali dogo tu. Ungesema haijulikani ingeeleweka kuliko kudandia na lugha ya waarabu
 
Umepanic mkuu. Mipasho miingi kisa swali dogo tu. Ungesema haijulikani ingeeleweka kuliko kudandia na lugha ya waarabu
Hawa akina Al maktoum wakitupia na kiarabu, basi wanajiona watakatiifu, kumbe kiarabu ni lugha tu kama lugha zingine. Hakuna watu ambao wamefanikiwa kuwa hadaa watu kama waarabu, eti wenyewe wanadanganya watu, ili swala yako ikubalike na Allah basi lazima uongee kiarabu. Ebo, mpaka kiarabu, ina maana yeye hakubali watu wa lugha, rangi, taifa na kabila tofautii? Ina maana usipojua kiarabu basi wewe ni huna chako? Wewe kafiri mkubwa simply because you don't know Arabic?
 
Hakuna ushahidi wa kisheria wa tarehe ya kuzaliwa Mtume, kwa hiyo acheni mihemko
 
Tuendelee kupinga ushoga, pia kuendeleza utumwa wa kiarabu ambao umewafumba macho yenu na kuanza kuabudu kueneza na kuenzi desturi zao.
Mimi ni mpemba! Wewe choka mbaya unachembechembe hata ya mabwana zako wazungu waliokufundisha ushoga?
 
Hizi habari za kubaka ni za siku hizi tu na makelele yenu,juzi tu hapa usukumani palikua na chagulaga,yaani ngomani huko unachagua mwanamke unamvuta vichakani unagonga mambo, kuhusu watu kuolewa wadogi zamani siyo issue, ilikua hivyo,japo si kweli kuwa mtume alioa binti wa miaka 6,9,12,si kweli,na ndiyo maana kila mtu ana umri wake wa huyo binti, lakini pia Quran imeagiza kuoa wanawake,kwa maana ya waliopevuka,hilo la kuoa binti mdogo ndiyo limeshupaliwa kweli na makafiri
 
NYINYI KILA kukicha mnaamrishana ushoger
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…