Leo ni siku ya nne ya ndoa yangu

Leo ni siku ya nne ya ndoa yangu

     ....Ati "they are boring me"
Msomi wa masters huyo...Mwanamke akishavuka miaka thelathini bila hata dalili ya mchumba lazima achachawe...Na akimpata huyo wa kuoa atataka hata aolewe kesho..ye na mumewe wote walikua desperate na ndoa ndo mana hivi!
Limbukeni wa ndoa katika ubora wake! haukuwa na ulazima wa kujibu swali linalohusu mambo yako ya faragha!
Una hakika au ndo kujiherehesha? Naona domo limekulegea kama umekunywa gongo
 
Atajuta wewe mwenye uso kama umemwagiwa maji ya moto kwenye fumanizi..mbw..aa wa kienyeji wee mla majalalani
hahahaaa huyoooo .... ndoa siku 4 tu unachachawa...
we sidhani kama utafikisha miezi mi2.. duh!!
 
Ana matatizo kichwan kwann unatoa siri za chumbani kwako?? Mumeo ana bidii akakupime kichwa chaji labda ww n chizii
Siri nawewe wazijua siku hizi?_hongera kwa kunuka ufahamu..hivi upo darasa la ngap vile?
 
     ....Ati "they are boring me"
Msomi wa masters huyo...Mwanamke akishavuka miaka thelathini bila hata dalili ya mchumba lazima achachawe...Na akimpata huyo wa kuoa atataka hata aolewe kesho..ye na mumewe wote walikua desperate na ndoa ndo mana hivi!
Limbukeni wa ndoa katika ubora wake! haukuwa na ulazima wa kujibu swali linalohusu mambo yako ya faragha!
Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa"THEY ARE BORING MEEEEEEEEEEE" Yaani balaa Ati MSOMI my FOOT.
 
niende wapi nami nakuchora tu unavoogeshwa leo majibaridi utayaoga tu c umetaka mwenyew
Mwanaume mbea kama shangazi yako wa chanika loool! Vipi hivi Leo mtaani kwenu kuna nini kipya?
 
Ndyo maana nikasema you fooled us all before.
huyu monikcca asavali ya DOG angalao anaakili kidogo. issue yake hii ya 4days kwenye kugegedwa ni kama amejivua gagulo mtaa wa kongo
 
Vivac huyu dada hajielew flan hivi...Yaani mi mwenyewe nimemuona kitambo tu..Kaanza na tangazo la kutafuta mume humu jf,akaja na mrejesho kampata cjui walikua wanasoma wote miaka hiyo chuo na akadai anaolewa nae cjui baada ya mwez mmoja wa kujuana,akaja na thread eti huyu mchumba anamnyima dudu had ndoa,akaja tena ooh kesho kutwa naolewa,akaja siku ya harusi leo naolewa...Hata sasa kaleta mrejesho et mume anayaweza..Huoni kama n limbukeni huyu??
Labda hajqwekwa ndani na kupewa somo.
Shoga msitiri mumeo,maadili yq za kitanzania mke anatakiwa awe msitiri,ya chumbani yaishie chumbani myajue mume na mke tu.Ukishavuka mlango kuingia sebuleni anza ya hapo.Upoo[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Usituaibishe!
We ni lini uliwahi kutana na mwanamke anaejielewa,mwanamke haswa hlf akakusimulia anavyopeana unyumba na mumewe,asiejitambua ndo yuko hivo na ndo mnajazana saluni kuwaongelea waume zenu..
Badilika
Aggyjay uko sahihi, lakini mashaka yangu ni kwamba;
Yawezekana habari hii sio ya kweli halafu sisi ndio tumeinhizwa chobsi huku MONICCCA kakaa pembeni anatucheka tunavyotumia muda mwingi na nguvu plus jazba kumjibu...rejea makapukuku na pastor fake.
Au yawezekana ni ya kweli na moniccca ni aina ya jamii ya sanguin wasio weza kutulia na jambo..aina hii ya watu hukera kwani hawana vifua vya kutunza siri lakini pia HUWA NI BURUDANI kuleee kwani ni waitikiaji wazuri sana.
 
Mwanaume mbea kama shangazi yako wa chanika loool! Vipi hivi Leo mtaani kwenu kuna nini kipya?
dah natamani ningekuona ulivo sasahivi mana tangu asubhi ulipotia tu uzi wako. ulicho na unachoambulia sasa hivi ni bora ungefunga huu uzi ili ucje kuabika kwenye ndoa yako ya siku 4.
 
Una hakika au ndo kujiherehesha? Naona domo limekulegea kama umekunywa gongo
Hilooooo[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] umeaibika!
Nimekwambia hukuwa na ulzima wa kujibu swali linalohusiana na mambo yako ya faragha unabwabwaja ovyo..Naona umeishiwa point za kujibu,na pia hujitambui kwamba umeacha nafasi fulani siku chache zilizopita na umekwaa nafas nyingine..MKE WA MTU! kwa cheo hiki unatakiwa ujiweke tofauti na wale ulowaacha nyuma ili wapate cha kujifunza kwako dada,ili na wao wakiingia kwenye ndoa wajue wanatakiwa waishi vipi.Sasa imagine wewe ndoa ya kikristo mke uko bize kutukana mitandaoni..yan umekuwa ka mwehu flani hivi..Ya chumbani wayaweka nje.
Wewe ni limbukeni na usibishe kwa hilo.
 
yani ningekuwa ndo me HUU UZI NINGEUBLOCK. duh!! sidhani kama siku yaleo utakuwa na raha moyoni hatahuyo mume GEBWE wako nae inapaswa umjulishe kabsaa kuwa leo umeogeshwa maji ya kwenye 'FLIZA' kizalamo c ndo hiki etiee
 
Hilooooo[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] umeaibika!
Nimekwambia hukuwa na ulzima wa kujibu swali linalohusiana na mambo yako ya faragha unabwabwaja ovyo..Naona umeishiwa point za kujibu,na pia hujitambui kwamba umeacha nafasi fulani siku chache zilizopita na umekwaa nafas nyingine..MKE WA MTU! kwa cheo hiki unatakiwa ujiweke tofauti na wale ulowaacha nyuma ili wapate cha kujifunza kwako dada,ili na wao wakiingia kwenye ndoa wajue wanatakiwa waishi vipi.Sasa imagine wewe ndoa ya kikristo mke uko bize kutukana mitandaoni..yan umekuwa ka mwehu flani hivi..Ya chumbani wayaweka nje.
Wewe ni limbukeni na usibishe kwa hilo.
Hongera zako unajitahidi sana kushauri unaweza kuwa kungwi mzuri sana baadae kama ukiacha umbea na ufukunyungu ili kujengea heshima kwenye jamii.

pili usisahau kuweka akiba ya maneno ili baadae usije aibika.
 
Hilooooo[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] umeaibika!
Nimekwambia hukuwa na ulzima wa kujibu swali linalohusiana na mambo yako ya faragha unabwabwaja ovyo..Naona umeishiwa point za kujibu,na pia hujitambui kwamba umeacha nafasi fulani siku chache zilizopita na umekwaa nafas nyingine..MKE WA MTU! kwa cheo hiki unatakiwa ujiweke tofauti na wale ulowaacha nyuma ili wapate cha kujifunza kwako dada,ili na wao wakiingia kwenye ndoa wajue wanatakiwa waishi vipi.Sasa imagine wewe ndoa ya kikristo mke uko bize kutukana mitandaoni..yan umekuwa ka mwehu flani hivi..Ya chumbani wayaweka nje.
Wewe ni limbukeni na usibishe kwa hilo.
HURUMAAAAA... anatia hurumaaa.. tumsemeeeh
 
Back
Top Bottom