ommytk
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 520
- 1,143
Leo ni 9 December ni sikukuu ya uhuru wa nchi yetu Tanzania ni sikukuu ambayo tunakutana watu wote kwa dini zote na sio sikukuu ya kidini hii ni ya wananchi wote.tofauti kabisa na ilivyo unakuta kila mtu anaendelea na shughuli zake na inabaki kama mapumziko tu ni sio siku ya kufalia.
Kwa wale waliowahi kutoka kidogo hizi siku kwa nchi zingine ni siku kubwa sana na ni siku ya kuonyesha na kufurahia utaifa wako nenda tu South Africa hapo siku ya uhuru wao shamrashamra zake
Juzi nilikuwa Dubai siku ya uhuru wao aiseee ni sikukuu aswaaaaa mtaani bendera picha mbali mbali ila hapa kwetu inabaki kuwa mapumziko na sikukuu ya serikali peke yake
Kuna aja kubadilka watanzania