๐Tokea lini mimi ni mpare!?Kumbe makabila tunahama na mmenyamaza? Umewahama wapare leo ๐๐๐๐๐๐
Una comment nyingi sana yule kijana wa kuleta ushahidi angekuletea reply yako.๐Tokea lini mimi ni mpare!?
Unanisingizia๐ฃ
OkayNdio!
Kila la kheri kwetu. Tufanyeje sasa wakati ndo tushakuwa wafupi.
Bina Chumchang Changchum njoo unitakie kheri huku. ๐
Yaani ๐คฃ๐คฃ๐คฃWamiliki halali wa gubu na visirani
Sasa epheMkurya wa dar!
Sijui lugha yoyote zaidi ya kiswahili
Niambie mkurya mwenzanguSasa ephe
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐Watu wafupi muache ukorofi jamani.....
๐คฃ๐คฃ๐คฃsa itakuwaje?
๐๐๐Niwa wish au? Na zawadi ninazo lakini.๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐
Kwenye ufupi mi simo mpendwa...yaan 5.5 najionaga mrefu nimewazidi wote...wawish wenye ufupi wao๐คฃ๐๐๐Niwa wish au? Na zawadi ninazo lakini.
Hope urassa ana 5.68 nimemuwish ook nitaheshimu umri ๐๐Kwenye ufupi mi simo mpendwa...yaan 5.5 najionaga mrefu nimewazidi wote...wawish wenye ufupi wao๐คฃ
Heee mi ni tall ndo maana na.....Hope urassa ana 5.68 nimemuwish ook nitaheshimu umri ๐๐
Tall ndio ukisimama na to yeye. ๐Heee mi ni tall ndo maana na.....
Kwa mwanaume mfupi futi 5.6 kushuka chini, wastani 5.7-5.9, mrefu 6 na kuendelea.Mtu mrefu anatakiwa kuwa na futi ngapi?