Leo ni siku ya watu wafupi duniani

Safi siku yenu inakuja usije kukimbia tuπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Mada za hivi huwa hazinigusi sababu mie niko wastani/ katikati si mrefu si mfupi, si mnene si mwembamba, nk
Mi bana niko kawaida sio mfupi na pia sio mrefu 😹😹😹
Hivi shemeji yuko wapi sijamuona hizi siku mbili tatu?? Isije kuwa kavuta.!!
Sijamzoea kabisaaa kukaa kimya kiasi hiki
 
Siku yetu ikifika hatutaki kuona hawa vijeba kwenye shughuli zetu maana wanafujo na niwagomvi sana
Halafu wakiwa na hasira wanapenda miwa ya vifuko kushusha presha 🀣🀣🀣
 
Mi bana niko kawaida sio mfupi na pia sio mrefu 😹😹😹
Hivi shemeji yuko wapi sijamuona hizi siku mbili tatu?? Isije kuwa kavuta.!!
Sijamzoea kabisaaa kukaa kimya kiasi hiki
weekend, na kibaridi hiki kabananishwa, ila kuna ID mchana imeniwakia nahisi ni yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…