Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,233
- 8,022
Hii ngoma ilikuwa kali sana sijui producer wake alikuwa nani.Selina wa Alicom,
"seli wangu we kimwana nataka tufunge ndoa...unizalie na wana...."
Ilipigwa na kundi la BWVMwaanza Zirekebishee baarabara x 2, sikumbuki hii kitu ilipigwa na nani.
Tamala n wa hardmad ft fatmaTamara wa mad ice,,,my all time favourite,,,,, respect to Mika Mwamba