Leo niambie ukweli mmoja mchungu ambao kama mwanaume ni lazima niukubali

Leo niambie ukweli mmoja mchungu ambao kama mwanaume ni lazima niukubali

jamaikatz

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2023
Posts
400
Reaction score
1,429
Leo niambie ukweli mmoja mchungu ambao kama mwanaume ni lazima niukubali
 
Wala hakunaga kma eti ilio tamu zaidi ya nyingine, ni nyeg zako zinakusumbua tu kichwani, ndio maana hata ukishamwaga unamuona ni kama dada yako
 
Mwanamke atakuja kwako kama anaona kuna faida kwake
Mwanamke hampendi mwanaume hata siku moja bali watoto wake
 
Mwanaume inabidi uwe na pesa yaani utake au usitake kuwa na pesa ndio kila kitu
 
Hakuna utelezi wa bure, Mkuu tafta ela ndiyo itakupa heshima.
 
Back
Top Bottom