Leo nimeamini kuwa Yanga SC ina Mashabiki wengi kuliko timu yoyote Afrika Mashariki

Nakujua vizuri mkuu, kwenye ngebe na michambo huwa uko vizuri. Unaweza kujiuliza nimeyajulia wapi hayo, ni kwenye nyuzi za diamond na WCB.

HIVYO BASI, kwakua mimi sio mtaalamu kwenye angle hiyo inabidi nikuache tu.
 
Nakujua vizuri mkuu, kwenye ngebe na michambo huwa uko vizuri. Unaweza kujiuliza nimeyajulia wapi hayo, ni kwenye nyuzi za diamond na WCB.

HIVYO BASI, kwakua mimi sio mtaalamu kwenye angle hiyo inabidi nikuache tu.
Kwani kuna la uongo nilosema vumilia ndio mpira ,Kaduguda alidai hela yake ya chapati kwenye radio,kama hujui simba alikaa miaka 5 mfululizo bila kombe basi wewe Simba huijui ,pili hilo gari halihitaji maelezo lina jieleza hio sio michambo ni ukweli kwako una michambo labda may be nyie mshazoea kuchambana na ndio maana mnadaina mpaka hela za chapati.
 
Kweli kabisa mashabiki wa yanga wengi ma dish yameyumba kama mashabiki wanaweza kujazana airport kumbeba mwenyekiti wao na kupokea wageni wakija kucheza nchini ulitegemea leo wafanye nini kwenye hilo muondoe kikwete na Sunday manara tu.
 
Miaka 4 bila kombe kweli ni mateso
 
Yanga ni timu ya Wananchi wa Tanzania! Ni tofauti kabisa na ile ya wale ndugu kutoka Bombay.
Hapa dar tunajua watu wanapenda sana matukio, hata vigoma vya mtaani huwa havihudhuriwi na wahusika walio alikwa, kuna makundi ya watu wanakuja kwakufuata burudani ya mademu wanaokata miuno, itakuwa ujinga kutoka nje uanze kutamba eti sherehe ilifana kwasababu unajulikana sana mtaani.

Hilo tukio lenu mliliqnza kulipigia promo mwezi mmoja uliopita. Leo jumapili watu hawana pakwenda hakuna tukio lingine la kuwafanya watu wapoteze muda zaidi ya sherehe yenu.

Waliohudhuria sio mashabiki pekee kuna wapita njia wamekuwa motivated, kuna hadi mashabiki wa simba nao wamekuja huko, wengine wamekuja kufata burudani ya mziki, wengine kuangalia kombe nk.


Si unit ya kujua nani ana mashabiki ilikuwa ni ile ya nani zaidi ambayo nyinyi mlisanda, huo mlundikano wa watu barabarani sio kipimo kumbuka pia kuna kongamano la CCM nalo linafanyika leo.
 
Kibaya zaidi kuhusu michambo ni kuandika mgazeti marefu yasiyo ya lazima kama hivyo, ndiomaana tangu mwanzo nimekataa.

Hoja yangu ilikuwa ni ubora wa kombe msimu ujao liboreshwe au waweke tenda ili kupata kitu bora, wewe ukaja na hoja ya chapati ndomaana nikakukataa.

JIONI NJEMA.
 
Hamna gazeti hapo,kwani ubora wa kombe lilopita ulikuwa una quantify kwa metrics zipi ukilinganisha na sasa.

Weight ya material (material ya aina gani), width, length, Height? Au may be kombe lilopita Calcus, Complex number na trigonometric ratio zilihusika.?
 
Hawa wenzetu MALI wamewezaje kuwa na kombe zuri? Nafikiri kuwepo na tenda juu ya utengenezaji wa makombe ya ligi kuanzia msimu ujao.View attachment 2273028

Mmekulia katika maisha ya kuiga iga.

Kila kitu mnaona inafaa kuoga.

Hata darasani huenda mlikuwa mnaigia kwa wengine.

Amekwambia nani tunahitaji taji lenye kufanana na kombe la EUFA CHAMPIONS LEAGUE?
 
Alhamdulillah nimelishuhudia Live leo maeneo ya Airport, kwa kweli Wananchi wamejua kuisimamisha Dar na Viunga vyake,[emoji3060]

#We are the Champions#[emoji169][emoji172]
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…