Leo nimeamini kuwa Yanga SC ina Mashabiki wengi kuliko timu yoyote Afrika Mashariki

Akikujibu nipo paleee uniite mkuu
 
Kweli kabisa mashabiki wa yanga wengi ma dish yameyumba kama mashabiki wanaweza kujazana airport kumbeba mwenyekiti wao na kupokea wageni wakija kucheza nchini ulitegemea leo wafanye nini kwenye hilo muondoe kikwete na Sunday manara tu.



Kama ni uchizi basi tumejifunza huku.
 
Ni sawa uishi na mkeo miaka mi 4 hujapata mtoto, siku mbahatike kupata mtoto hiyo furaha yake haisimuliki.
 
Mmekulia katika maisha ya kuiga iga.

Kila kitu mnaona inafaa kuoga.

Hata darasani huenda mlikuwa mnaigia kwa wengine.

Amekwambia nani tunahitaji taji lenye kufanana na kombe la EUFA CHAMPIONS LEAGUE?
Wewe kama muafrika kidampa kuna kipi ambacho haujaiga??

Hapa bongo na Africa ni lini ulitokea ubongo wa kuanzisha kitu na dunia ikakifata, kama waliojipambanua kama watu mashuhuri hapa africa hawajawahi kuvumbua kitu, wewe chokoraa wa hapa TZ (jf) tuseme vipi?Hilo swala la bus hamjaiga? Sisi kama waafrika kuiga ni MUST, na kama vizuri sio kosa😂.

Hutaki kuwa na kombe linalofanana na la UEFA ila unataka tuendelee kuwa na kombe kama zururu?Haya sasa hebu jaribu kulinganisha hili kombe letu na wenzetu hawa wa SA.

Acheni kuropoka, sisi ni Simba Sc hatujashinda ubingwa lakini ni lazima tuseme maana kuja kubebe kombe la hivi (ikitokea) ni fedheha.
 
Ubingwa mmoja wa Yanga wa bila kupoteza mchezo wa ligi umefunika miaka minne ya ubingwa wa Simba!

mashabiki wa Simba wanaumwa, wana hasira wanatukana ovyo ukikaa nae karibu ukatetema unaweza kupokea Makonde mazito!!

Daima Mbele Nyuma Mwiko!
 
Ubingwa mmoja wa Yanga wa bila kupoteza mchezo wa ligi umefunika miaka minne ya ubingwa wa Simba!

mashabiki wa Simba wanaumwa, wana hasira wanatukana ovyo ukikaa nae karibu ukatetema unaweza kupokea Makonde mazito!!

Daima Mbele Nyuma Mwiko!
Azam na simba walishachukua ubingwa bila kufungwa ndio maana tunawashangaa
 
Ni sawa uishi na mkeo miaka mi 4 hujapata mtoto, siku mbahatike kupata mtoto hiyo furaha yake haisimuliki.
Hujawahi kukutana na aliyekaa miaka mitano bila mtoto, furaha yake ilipiliza mpaka wakakodi fuso la kumbebea mwali.
 
Una hasira hadi una squirt kama demu wa kihaya
 
Nmeipenda hio jezi ya wanachi wa SA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…