Wewe kama muafrika kidampa kuna kipi ambacho haujaiga??
Hapa bongo na Africa ni lini ulitokea ubongo wa kuanzisha kitu na dunia ikakifata, kama waliojipambanua kama watu mashuhuri hapa africa hawajawahi kuvumbua kitu, wewe chokoraa wa hapa TZ (jf) tuseme vipi?Hilo swala la bus hamjaiga? Sisi kama waafrika kuiga ni MUST, na kama vizuri sio kosa😂.
Hutaki kuwa na kombe linalofanana na la UEFA ila unataka tuendelee kuwa na kombe kama zururu?Haya sasa hebu jaribu kulinganisha hili kombe letu na wenzetu hawa wa SA.
Acheni kuropoka, sisi ni Simba Sc hatujashinda ubingwa lakini ni lazima tuseme maana kuja kubebe kombe la hivi (ikitokea) ni fedheha.
View attachment 2273393