YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Mbowe mzalendo alianza kwa ku test uzalendo wa watangazaji TBC Kama anayoongea watarusha Live yaliyo kinyume na sheria za utangazaji. Kuna upande Kuna mtu Alikuwa akimwangalia kama aonyeshe je anasikika live? Yule mtu alitoa ishara ya Siri ya kuwa ndiyo. Akaona akiwakaribisha Lissu na Salum Mwalimu Live TBC itaingia matatizoni akawaambia ondokeni hatuwataki fungeni vyombo vyenu kwendeni zenu.
Hilo tamko nimelikubali Mia kwa Mia kwa sababu TBC walikiuka sheria za utangazaji kipande Cha mwanzo Cha hotuba ya Mbowe.
Mbowe alifanya vile kama mzalendo namuombea CCM naomba tusiweke nguvu sana Jimbo la Mbowe kumtoa ana uzalendo.
Mafundi mitambo na wahariri wa TBC waliokuwepo Leo Mbagala wachukuliwe hatua na TBC haraka na Mbowe aachiwe Jimbo hata alishindwa naomba Raisi Magufuli mpe uteuzi ubunge wa viti vya kuteuliwa Yuko vizuri kulinda maslahi ya taifa na uzalendo. Amenigusa Sana jopo la TBC kikishindwa kuona Hadi Mbowe aone?
Zaidi, soma: News Alert: - Yaliyojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu katika viwanja vya Zakheim Mbagala, TBC Wafukuzwa

Lema amepanda jukwaani TBC wakakata hotuba yake wakaenda studio, watangazaji wakaanza kuongea wao
Mnyika, Katibu Mkuu wa chama, amepanda jukwaani TBC wakakata hotuba yake wakaenda studio, watangazaji wakaanza kuongea wao
Potential future First Lady amepanda jukwaani TBC wakakata hotuba yake wakaenda studio, watangazaji wakaanza kuongea wao
Mwenyekiti wa chama Mbowe amepanda jukwaani TBC wakakata hotuba yake wakaenda studio, watangazaji wakaanza kuongea wao
This is unacceptable by any standards...
Wangeacha tu kufanya maigizo ya kurusha mkutano mubashara
Maana yale ni maigizo