Uchaguzi 2020 Leo nimeamini Mbowe mzalendo, Wahariri TBC wachukuliwe hatua kutangaza kinyume na sheria za utangazaji

🤣 🤣 🤣 Jimbo la Mbowe tunalichukua asubuhi. Tunataka awepo mtu anawasemea watu hao.
Mwaka wa ishirini mkisema hivyo.huijui hii moshi wewe.MOSHI NI CHUO CHA SIASA.KAMUULIZE DAVIS MOSHA UCHAGUZI ULIOPITA ALITUMIA ZAIDI YA BILLION 5 .Moshi ni chuo cha siasa mkuu.
 
Hahahaha. Eti chuo cha nini!? Mwaka huu Mbowe hatoki.
 
Back
Top Bottom