Mbowe mzalendo alianza kwa ku test uzalendo wa watangazaji TBC Kama anayoongea watarusha Live yaliyo kinyume na sheria za utangazaji .Kuna upande Kuna mtu Alikuwa akimwangalia Kama aonyeshe je anasikika live ? Yule mtu alitoa ishara ya Siri ya kuwa ndiyo .Akaona akiwakaribisha Lisu na Salum Mwalimu Live TBC itaingia matatizoni akawaambia ondokeni hatuwataki fungeni vyombo vyenu kwendeni zenu
Hilo tamko nimelikubali Mia kwa Mia Sababu TBC walikiuka sheria za utangazaji kipande Cha mwanzo Cha hotuba ya Mbowe
Mbowe alifanya vile Kama mzalendo namuombea CCM naomba tusiweke nguvu Sana Jimbo la Mbowe kumtoa ana uzalendo
Mafundi mitambo na wahariri wa TBC waliokuwepo Leo Mbagala wachukuliwe hatua na TBC haraka na Mbowe aachiwe Jimbo hata alishindwa naomba Raisi Magufuli mpe uteuzi ubunge wa viti vya kuteuliwa Yuko vizuri kulinda maslahi ya taifa na uzalendo.Amenigusa Sana jopo la TBC kikishindwa kuona Hadi Mbowe aone?