Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Kada mwenzako huyo😁😁😁😁Hiki ulichoandika inaonyesha jinsi gani umechanganyikiwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kada mwenzako huyo😁😁😁😁Hiki ulichoandika inaonyesha jinsi gani umechanganyikiwa!
Acha uongo, bil 5 unaijua au unaisikiaMwaka wa ishirini mkisema hivyo.huijui hii moshi wewe.MOSHI NI CHUO CHA SIASA.KAMUULIZE DAVIS MOSHA UCHAGUZI ULIOPITA ALITUMIA ZAIDI YA BILLION 5 .Moshi ni chuo cha siasa mkuu.
Mbowe akitukana sema Ahsante pia.Asante kwa matusi
AsanteMbowe akitukana sema Ahsante pia.
Tutawanyoosha kama reli.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Imewauma sana?Tumia akili usitumie mak*pa kufikiri,
Unaelewa kanuni za utangazaji za nchi hii na kanuni na taaratibu za NEC za urushaji matangazo ya moja kwa moja wakati wa kampeni za uchaguzi na mapitio yake ambayo huyo mbowe alitia saini pamoja na vyama vingine.
Elimu elimu elimu.
Nchi hii inaendeshwa kwa Sheria,kanuni na taratibu.
Kesho wafukuzeni na jeshi la polisi nya* nyie.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Nakwambieni hivi mumelikoroga wenyewe na mtalinywa.Imewauma sana?
Tutakufukuza hata weweNakwambieni hivi mumelikoroga wenyewe na mtalinywa.
Kesho fukuzeni jeshi la polisi.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Mkuu umeandika huku umekalia ukuni kitu kigumu chenye ncha butu lainiTumia akili usitumie mak*pa kufikiri,
Unaelewa kanuni za utangazaji za nchi hii na kanuni na taaratibu za NEC za urushaji matangazo ya moja kwa moja wakati wa kampeni za uchaguzi na mapitio yake ambayo huyo mbowe alitia saini pamoja na vyama vingine.
Elimu elimu elimu.
Nchi hii inaendeshwa kwa Sheria,kanuni na taratibu.
Kesho wafukuzeni na jeshi la polisi nya* nyie.
Kanuni mlizisaini wenyewe leo hii mnaleta ushenzi.Tutakufukuza hata wewe
Kumbukumbu kidogo,2015 nchi imeingia katika kampeni vyama vikiwa vimepata almost fursa sawa kujitangaza nchi nzima.2020 tunaingia katika kampeni chama kimoja kikiwa kimepata fursa miaka mitano wakati vyama vingine vikiwa kifungoni.Pia pitia sheria ngapi mpya zimeanzishwa katika kupunguza uhuru wa maoni.
Time will tellKanuni mlizisaini wenyewe leo hii mnaleta ushenzi.
Mtachukuliwa hatua nakwambieni.
Huna jeuri hiyo wewe.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
mimi naona Muheshimiwa MBOWE alidanganywa Kabla ya kumkaribisha mgombea Uraisi kuwa TBC haipo hewani; naye akawafukuza waondoke ndani ya dkk15; sisi tulikuwa tuna angalia live kwenye ukumbi wetu wa kuangalilia mpira;Mbowe mzalendo alianza kwa ku test uzalendo wa watangazaji TBC Kama anayoongea watarusha Live yaliyo kinyume na sheria za utangazaji .Kuna upande Kuna mtu Alikuwa akimwangalia Kama aonyeshe je anasikika live ? Yule mtu alitoa ishara ya Siri ya kuwa ndiyo .Akaona akiwakaribisha Lisu na Salum Mwalimu Live TBC itaingia matatizoni akawaambia ondokeni hatuwataki fungeni vyombo vyenu kwendeni zenu...
Naangalia TBC hapa na naona wametoa kipande cha Mbowe kuwapa dakika kumi na tano kuondoka lakini ikafuatiwa na TAMKO la TBC ambalo pamoja na maelezo yote wameeleza pia kuwa wao ni chombo cha umma...
Kesho Dodoma tv zote zitakuwa live kuanzia TV mpaka YouTube. Azam TV mpaka Millard ayo.Naangalia TBC hapa na naona wametoa kipande cha Mbowe kuwapa dakika kumi na tano kuondoka lakini ikafuatiwa na TAMKO la TBC ambalo pamoja na maelezo yote wameeleza pia kuwa wao ni chombo cha umma...