Leo nimeenda kwenye kikao cha wazazi darasa la Saba, hakuna mzazi hata moja kaja na gari. Kuna kitu nimejifunza

Kwanza umasikini mkubwa sana ni KUFIKIRI mtu kuwa na GARI ndio ana Maisha mazuri sana.
Ni muhimu sana kuwa na gari hata kama huliendeshi kila siku.

Gari lina umuhimu sana,hasa unapotaka kutoka usiku mfano kama ukiuguliwa au kutoka wakati wa mvua.

Hata uwe na pesa nyingi kiasi gani kama hauna gari wewe ni masikini tu,
 
shule za serikali nyingi tupo si wahoi.Halafu nimesikia watoto shule ya msingi wawe na trak hili jambo mbona naona kama kuwachosha wazazi.Ikiwa Viatu vyeusi na soksi hata robo ya shule waliyokuwa wamevaa full hawafiki.Je trak?
 
Maisha ya wengi ni ya kuunga unga.

Ila kuna watu wachache kabisa kwenye nchi hii hawana aibu wanatafuna tu pesa za serikali.

Familia nzima ni kubonya tu kodi za wadanganyika.

What a shame.
 
Kwanza utaweza sema tupo vicoba tumekuja kufanya marejesho hatari sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mmchoka mmepigika naona hata walimu km walikua na ka mchango ka nyongeza walighairi maana wakiaangalia wazazi mmechoka km mlikua ukraine mnapambana na mrusi

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
Tatizo si kumiliki gari; bali gharama za kulifanya liwe barabarani ndio changamoto
 
Ulitegemea mzazi gani huko ndaani ndani kabisa usweken chattle aje na gari?
 
Halafu imekuwa ni jambo flani sio la kukubalika kirahisi, mwalimu wa msingi ana gari??? Kuna wizi anafanya[emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…