HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Umasikini si sifaWatu wengi vipato ni vya kawaida na umaskin wa hali ya juu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umasikini si sifaWatu wengi vipato ni vya kawaida na umaskin wa hali ya juu
Ni muhimu sana kuwa na gari hata kama huliendeshi kila siku.Kwanza umasikini mkubwa sana ni KUFIKIRI mtu kuwa na GARI ndio ana Maisha mazuri sana.
Huna akiliNi muhimu sana kuwa na gari hata kama huliendeshi kila siku.
Gari lina umuhimu sana,hasa unapotaka kutoka usiku mfano kama ukiuguliwa au kutoka wakati wa mvua.
Hata uwe na pesa nyingi kiasi gani kama hauna gari wewe ni masikini tu,
nachukia mno kuona mapikpik aina ya sanlg yamepakiwa shuleni utazan bodaboda ndo wamo madarasan wanafundsha
Sio sifa ndioUmasikini si sifa
Hovyoooo,watu kama wewe hujifichia kwenye sababu za kijinga. Kwa karne hii gari ni muhimuKwanza umasikini mkubwa sana ni KUFIKIRI mtu kuwa na GARI ndio ana Maisha mazuri sana.
Hovyoooo,watu kama wewe hujifichia kwenye sababu za kijinga. Kwa karne hii gari ni muhimu
shule za serikali nyingi tupo si wahoi.Halafu nimesikia watoto shule ya msingi wawe na trak hili jambo mbona naona kama kuwachosha wazazi.Ikiwa Viatu vyeusi na soksi hata robo ya shule waliyokuwa wamevaa full hawafiki.Je trak?Leo niliitwa shuleni kwenda kwenye kikao cha mjukuu wangu yupo darasa la Saba anataraji kufanya mtihani mwaka huu.nikachukua baskeli yangu na kwenda kwenye kikao shuleni.nimefika nimechelewa sana ila kuna kitu nikawa najiuliza baada kufika pale nje mbona hakuna ata gari moja ya mzazi na pikipiki baskeli na waenda kwa miguu hii ilinipa mawazo na kuwaza mambo tofauti ata nilipoingia ndani wazazi tuliopo ni mavazi yetu tu yanakuoa jibu sisi wazazi namna gani mungu ibariki Tanzania wabariki na watu wake
Isagen'geShule gani hiyo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mmchoka mmepigika naona hata walimu km walikua na ka mchango ka nyongeza walighairi maana wakiaangalia wazazi mmechoka km mlikua ukraine mnapambana na mrusiKwanza utaweza sema tupo vicoba tumekuja kufanya marejesho hatari sana
Halafu imekuwa ni jambo flani sio la kukubalika kirahisi, mwalimu wa msingi ana gari??? Kuna wizi anafanya[emoji1][emoji1]Umekuwa kama mimi siku hz nikipita shule yoyote ya primary ya serikali nikaona hakuna hata kagari kakuzugia huwa najua walimu wa pale wamepigika kwel kwel na hata hawawez kuwapa motisha wanafunz,nachukia mno kuona mapikpik aina ya sanlg yamepakiwa shuleni utazan bodaboda ndo wamo madarasan wanafundsha
Hv inakuwaje mtumishi wa serikali anaenda dukan kununua pikpik yake ya kwendea kazini anachagua sanlg,yaan boxer,tvs,baja,xl,honda huzion
Ila kuna baadhi ya mashule ya primary ya serikali yapo njema hatari nje unakuta watu wamepaki vyuma hadi unashangaa,ila walimu wa hv sizan kama wanakomaa sana kufundisha