Leo nimeenda kwenye kikao cha wazazi darasa la Saba, hakuna mzazi hata moja kaja na gari. Kuna kitu nimejifunza

Leo nimeenda kwenye kikao cha wazazi darasa la Saba, hakuna mzazi hata moja kaja na gari. Kuna kitu nimejifunza

Kwanza umasikini mkubwa sana ni KUFIKIRI mtu kuwa na GARI ndio ana Maisha mazuri sana.
Ni muhimu sana kuwa na gari hata kama huliendeshi kila siku.

Gari lina umuhimu sana,hasa unapotaka kutoka usiku mfano kama ukiuguliwa au kutoka wakati wa mvua.

Hata uwe na pesa nyingi kiasi gani kama hauna gari wewe ni masikini tu,
 
Hovyoooo,watu kama wewe hujifichia kwenye sababu za kijinga. Kwa karne hii gari ni muhimu

IMG_20220419_163155.jpg
 
Leo niliitwa shuleni kwenda kwenye kikao cha mjukuu wangu yupo darasa la Saba anataraji kufanya mtihani mwaka huu.nikachukua baskeli yangu na kwenda kwenye kikao shuleni.nimefika nimechelewa sana ila kuna kitu nikawa najiuliza baada kufika pale nje mbona hakuna ata gari moja ya mzazi na pikipiki baskeli na waenda kwa miguu hii ilinipa mawazo na kuwaza mambo tofauti ata nilipoingia ndani wazazi tuliopo ni mavazi yetu tu yanakuoa jibu sisi wazazi namna gani mungu ibariki Tanzania wabariki na watu wake
shule za serikali nyingi tupo si wahoi.Halafu nimesikia watoto shule ya msingi wawe na trak hili jambo mbona naona kama kuwachosha wazazi.Ikiwa Viatu vyeusi na soksi hata robo ya shule waliyokuwa wamevaa full hawafiki.Je trak?
 
Maisha ya wengi ni ya kuunga unga.

Ila kuna watu wachache kabisa kwenye nchi hii hawana aibu wanatafuna tu pesa za serikali.

Familia nzima ni kubonya tu kodi za wadanganyika.

What a shame.
 
Kwanza utaweza sema tupo vicoba tumekuja kufanya marejesho hatari sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mmchoka mmepigika naona hata walimu km walikua na ka mchango ka nyongeza walighairi maana wakiaangalia wazazi mmechoka km mlikua ukraine mnapambana na mrusi

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
Tatizo si kumiliki gari; bali gharama za kulifanya liwe barabarani ndio changamoto
 
Ulitegemea mzazi gani huko ndaani ndani kabisa usweken chattle aje na gari?
 
Umekuwa kama mimi siku hz nikipita shule yoyote ya primary ya serikali nikaona hakuna hata kagari kakuzugia huwa najua walimu wa pale wamepigika kwel kwel na hata hawawez kuwapa motisha wanafunz,nachukia mno kuona mapikpik aina ya sanlg yamepakiwa shuleni utazan bodaboda ndo wamo madarasan wanafundsha

Hv inakuwaje mtumishi wa serikali anaenda dukan kununua pikpik yake ya kwendea kazini anachagua sanlg,yaan boxer,tvs,baja,xl,honda huzion

Ila kuna baadhi ya mashule ya primary ya serikali yapo njema hatari nje unakuta watu wamepaki vyuma hadi unashangaa,ila walimu wa hv sizan kama wanakomaa sana kufundisha
Halafu imekuwa ni jambo flani sio la kukubalika kirahisi, mwalimu wa msingi ana gari??? Kuna wizi anafanya[emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom